1.Enzi hizo unakuta jamaa arusha anakuuzia BlackBerry mpya elf15 ukijichanganya umebeba sabuni
2.unafika ubungo sa12;30 mkata tiketi anakwambia gari yake ndio ya mbele
3.kwetu kwetu tarime nafika kariakoo mtu cmjui ananiambia karibu mgosi
4.unashuka tu manseze unakutana na mdada mremboo anakwambia kaka nmevutiwa na wewe af ukichek ndio nmetoka mkoani na raizon langu, ata kama lazima nimkemee