Orodha ya magazeti ya kufungia nyama Tanzania (The meat wrapping news papers)

Katika awamu hii ya tano kumejitokeza viherehere wasiokuwa na taluma na wala wasioheshimu taaluma ya habari na kufungua vijigazeti vyenye propaganda za kijinga. Pamoja na ukweli kuwa hata zile media zilizokuwa zinaheshimika siku za nyuma nazo kujigeuza kuwa za ovyoovyo siku hizi, lakini vijigazeti vifuatavyo ni vya kufungia nyama na wala watanzania msihangaike na upuuzi unaoandikwa humo.

1. Tanzanite ( Msiba)
2. Fahari yetu ( Msiba)
3. Jamvi la Habari ( Habibu Mchange)
4. La jiji ( Ngasa/ Dr. Abass)
5. The Echo ( Kiingereza cha ovyo)
6. The Observer ( kiingereza cha ovyo)
7. Tazama Tanzania

Hiyo ni orodha ya msingi kabisa wa vijigazeti uchwara vya kupuuza ambavyo kazi yake kubwa chini ya usimamizi wa Dr. Abass ni kuwaondoa wa tanzania kwenye Agenda za msingi, kutukana watu na kulet chuki kwenye jamii.
Ni.Magazeti ya watoto KUNYEA MAVI
 
haya ndiyo waziri mkuu anatakiwa kitufanyia mbadala wa rambo
Hayafai hata kufungia chakula cha aina yeyote. Yale madini ya risasi yanayotumika kutengenezea ule wino wa kuyaandikia ni chanzo cha gonjwa hatari la kansa. Ni vyema yakakusanywa na kuwekwa kwenye tanuru la kuchoma saruji kama wanavyofanya katika kuharibu madawa ya kulevya. Vipi gazeti hivi ni kansa inayotunyemelea kwa kasi ya kutisha.
 
Na kila kukicha wanazidi kununua vyombo vya habari
Hawakutosheka na hilo,Mmoja wao akajikuta anabwatuka kuwa “walevi wapumbavu ndio wanaopata umaarufu na kuwekwa Front Page”‍♂
Kwa Nini wamemfungulia Azam na dst bado Yuko kifungoni?.
Kwangu natumia dstv,Sina kifurushi kwa sasa,alihamis nkicheki tbc taarifa ya habari Mwanangu ambaye Yuko STD 4 akaja,kunikuta naangalia tbc mtoto akasema mamaaaaaaaa!,ile ya kushangaa baba yaani unaangalia tbc,si bora uangalie kwaya.
Kakasema siipendi hii tv na hata watangazaji wake siwapendi wao ni kuisifu tuuu serikali,yaani serkali yetu kila siku haikosei.
Baba hawa waongo,ngoja nilete cd huyo kaondoka kaja na cd ya dini,kiukweli nilishangaa.
Nilichomwambia ni kuwa hata hizo tv zingine pia znasifia serikali na tbc Ni chombo cha serikali hivyo haiwezi kujikosoa.
Akasema baba bado wewe Ni kijana hiyo tv haiendani na vijana Ni ya wazee,kusikia hivo nimeamua kumuacha na namuona Kama mtu mzima,mtoto wa miaka 9 hapana.
Nkahisi labda kuna mtu anamfundisha,kumuuliza mama yake mambo ni makubwa na ya ajaubu kuhusu uelewa wake,mda wa uchaguzi was serkali za mitaa ndo alikuwa akimuuliza ***** kwa Nini CCM wanaogopa upinzani Hadi kubaka zoezi la kupiga kura ?

Nawaza kwa umri huu Yuko hivo,je akikomaa,majibu tunayo
 
Katika awamu hii ya tano kumejitokeza viherehere wasiokuwa na taluma na wala wasioheshimu taaluma ya habari na kufungua vijigazeti vyenye propaganda za kijinga. Pamoja na ukweli kuwa hata zile media zilizokuwa zinaheshimika siku za nyuma nazo kujigeuza kuwa za ovyoovyo siku hizi, lakini vijigazeti vifuatavyo ni vya kufungia nyama na wala watanzania msihangaike na upuuzi unaoandikwa humo.

1. Tanzanite ( Msiba)
2. Fahari yetu ( Msiba)
3. Jamvi la Habari ( Habibu Mchange)
4. La jiji ( Ngasa/ Dr. Abass)
5. The Echo ( Kiingereza cha ovyo)
6. The Observer ( kiingereza cha ovyo)
7. Tazama Tanzania

Hiyo ni orodha ya msingi kabisa wa vijigazeti uchwara vya kupuuza ambavyo kazi yake kubwa chini ya usimamizi wa Dr. Abass ni kuwaondoa wa tanzania kwenye Agenda za msingi, kutukana watu na kulet chuki kwenye jamii.
Umelisahau Tanzania Daima.
 
Kisa kikosi kazi aliongonza kuwanunulia wengine ulemavu wa kudumu. Naona mafarakano makubwa mbele baada ya kipindi cha mavuna haramu kutoweka
 
Katika awamu hii ya tano kumejitokeza viherehere wasiokuwa na taluma na wala wasioheshimu taaluma ya habari na kufungua vijigazeti vyenye propaganda za kijinga. Pamoja na ukweli kuwa hata zile media zilizokuwa zinaheshimika siku za nyuma nazo kujigeuza kuwa za ovyoovyo siku hizi, lakini vijigazeti vifuatavyo ni vya kufungia nyama na wala watanzania msihangaike na upuuzi unaoandikwa humo.

1. Tanzanite ( Msiba)
2. Fahari yetu ( Msiba)
3. Jamvi la Habari ( Habibu Mchange)
4. La jiji ( Ngasa/ Dr. Abass)
5. The Echo ( Kiingereza cha ovyo)
6. The Observer ( kiingereza cha ovyo)
7. Tazama Tanzania

Hiyo ni orodha ya msingi kabisa wa vijigazeti uchwara vya kupuuza ambavyo kazi yake kubwa chini ya usimamizi wa Dr. Abass ni kuwaondoa wa tanzania kwenye Agenda za msingi, kutukana watu na kulet chuki kwenye jamii.
kwa upande wa Zanzibar ni Zanzibar leo.
 
Mkuu hapo una mtoto, jivunue na wekeza zaidi kumlea huyo mtoto ni kichwa sana
Kwa Nini wamemfungulia Azam na dst bado Yuko kifungoni?.
Kwangu natumia dstv,Sina kifurushi kwa sasa,alihamis nkicheki tbc taarifa ya habari Mwanangu ambaye Yuko STD 4 akaja,kunikuta naangalia tbc mtoto akasema mamaaaaaaaa!,ile ya kushangaa baba yaani unaangalia tbc,si bora uangalie kwaya.
Kakasema siipendi hii tv na hata watangazaji wake siwapendi wao ni kuisifu tuuu serikali,yaani serkali yetu kila siku haikosei.
Baba hawa waongo,ngoja nilete cd huyo kaondoka kaja na cd ya dini,kiukweli nilishangaa.
Nilichomwambia ni kuwa hata hizo tv zingine pia znasifia serikali na tbc Ni chombo cha serikali hivyo haiwezi kujikosoa.
Akasema baba bado wewe Ni kijana hiyo tv haiendani na vijana Ni ya wazee,kusikia hivo nimeamua kumuacha na namuona Kama mtu mzima,mtoto wa miaka 9 hapana.
Nkahisi labda kuna mtu anamfundisha,kumuuliza mama yake mambo ni makubwa na ya ajaubu kuhusu uelewa wake,mda wa uchaguzi was serkali za mitaa ndo alikuwa akimuuliza ***** kwa Nini CCM wanaogopa upinzani Hadi kubaka zoezi la kupiga kura ?

Nawaza kwa umri huu Yuko hivo,je akikomaa,majibu tunayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Nasoma thread nilikuwa nimebeba panga kukusubiria kama utalitaja gazeti langu,hayo magazeti uliyoyataja hata kwa toilet paper hayafai yatawasababishia watu bawasiri
 
Back
Top Bottom