Orodha ya magazeti ya kufungia nyama Tanzania (The meat wrapping news papers)

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Messages
3,926
Points
2,000

PhD

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2009
3,926 2,000
Katika awamu hii ya tano kumejitokeza viherehere wasiokuwa na taluma na wala wasioheshimu taaluma ya habari na kufungua vijigazeti vyenye propaganda za kijinga. Pamoja na ukweli kuwa hata zile media zilizokuwa zinaheshimika siku za nyuma nazo kujigeuza kuwa za ovyoovyo siku hizi, lakini vijigazeti vifuatavyo ni vya kufungia nyama na wala watanzania msihangaike na upuuzi unaoandikwa humo.

1. Tanzanite ( Msiba)
2. Fahari yetu ( Msiba)
3. Jamvi la Habari ( Habibu Mchange)
4. La jiji ( Ngasa/ Dr. Abass)
5. The Echo ( Kiingereza cha ovyo)
6. The Observer ( kiingereza cha ovyo)
7. Tazama Tanzania

Hiyo ni orodha ya msingi kabisa wa vijigazeti uchwara vya kupuuza ambavyo kazi yake kubwa chini ya usimamizi wa Dr. Abass ni kuwaondoa wa tanzania kwenye Agenda za msingi, kutukana watu na kulet chuki kwenye jamii.
 

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
8,688
Points
2,000

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
8,688 2,000
Mkuu hili Tanzanite ni nafikiri halifai hata kufungia mandazi..
Mambo yake ya ovyo ovyo, uchochezi na Kiswahili kibovu.
Gazeti la leo badala ya kuandika neno SALA..wameandika SARA..halafu ni headline iliyo kwenye front page..
Takataka kabisa.
Mgambilwa ni mntu
 

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
2,495
Points
2,000

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
2,495 2,000
Hakuna anayenunua magazeti haya. Je yanajiendeshaje? Most likely answer, yanafadhiliwa/yanalipiwa na CCM, au serikali? How? Huko mbele itajulikana maana lazima kuna mahali hela inatoka!
Sasa ushaona mpk msemaji wa gogoni ana lake hpo, jibu rahis ni kwamba mpunga unatokea magogoni kuyapa back up na hayo mengine, inchi ina viongozi wabovu haijapata kutokea tangu uhuruuuuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
3,692
Points
2,000

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
3,692 2,000
Na kweli mkuu kuna gazeti linaitwa Tanzanite ni gazeti la Hovyo Hovyo eti leo April 11,2019 lina kichwa cha habari " CAG Ahaha kujinasua" sasa anajinasua kwa lipi? Wakati waliosema hawafanyi nae kazi wamekula matapishi yao? gazeti la kufungia samaki.
 

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Messages
5,513
Points
2,000

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2015
5,513 2,000
Hakuna anayenunua magazeti haya. Je yanajiendeshaje? Most likely answer, yanafadhiliwa/yanalipiwa na CCM, au serikali? How? Huko mbele itajulikana maana lazima kuna mahali hela inatoka!
Ukiskia kuna upotevu wa hela mahali ujue ndiyo inaenda kufadhili haya magazeti
 

stickvibration

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Messages
3,096
Points
2,000

stickvibration

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2017
3,096 2,000
Na kila kukicha wanazidi kununua vyombo vya habari
Hawakutosheka na hilo,Mmoja wao akajikuta anabwatuka kuwa “walevi wapumbavu ndio wanaopata umaarufu na kuwekwa Front Page”♂
 

Forum statistics

Threads 1,388,856
Members 527,817
Posts 34,012,298
Top