Orodha ya magazeti ya kufungia nyama Tanzania (The meat wrapping news papers)

Tanzanite,jamvi la habari na fahari yetu hayafai ata kufungia nyama..

Labda kuchambia..😂😂

Ova
 
Hakuna anayenunua magazeti haya. Je yanajiendeshaje? Most likely answer, yanafadhiliwa/yanalipiwa na CCM, au serikali? How? Huko mbele itajulikana maana lazima kuna mahali hela inatoka!
wasubiri report ya CAG ya mwakani
 
Katika awamu hii ya tano kumejitokeza viherehere wasiokuwa na taluma na wala wasioheshimu taaluma ya habari na kufungua vijigazeti vyenye propaganda za kijinga. Pamoja na ukweli kuwa hata zile media zilizokuwa zinaheshimika siku za nyuma nazo kujigeuza kuwa za ovyoovyo siku hizi, lakini vijigazeti vifuatavyo ni vya kufungia nyama na wala watanzania msihangaike na upuuzi unaoandikwa humo.

1. Tanzanite ( Msiba)
2. Fahari yetu ( Msiba)
3. Jamvi la Habari ( Habibu Mchange)
4. La jiji ( Ngasa/ Dr. Abass)
5. The Echo ( Kiingereza cha ovyo)
6. The Observer ( kiingereza cha ovyo)
7. Tazama Tanzania

Hiyo ni orodha ya msingi kabisa wa vijigazeti uchwara vya kupuuza ambavyo kazi yake kubwa chini ya usimamizi wa Dr. Abass ni kuwaondoa wa tanzania kwenye Agenda za msingi, kutukana watu na kulet chuki kwenye jamii.
Ongeza:
8) HOJA
9) UHURU
 
Na Kwa uhakika hiyo Abbasi atambuwe kabisa ipo siku atapelekwa The Hague kujibu mashataka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika awamu hii ya tano kumejitokeza viherehere wasiokuwa na taluma na wala wasioheshimu taaluma ya habari na kufungua vijigazeti vyenye propaganda za kijinga. Pamoja na ukweli kuwa hata zile media zilizokuwa zinaheshimika siku za nyuma nazo kujigeuza kuwa za ovyoovyo siku hizi, lakini vijigazeti vifuatavyo ni vya kufungia nyama na wala watanzania msihangaike na upuuzi unaoandikwa humo.

1. Tanzanite ( Msiba)
2. Fahari yetu ( Msiba)
3. Jamvi la Habari ( Habibu Mchange)
4. La jiji ( Ngasa/ Dr. Abass)
5. The Echo ( Kiingereza cha ovyo)
6. The Observer ( kiingereza cha ovyo)
7. Tazama Tanzania

Hiyo ni orodha ya msingi kabisa wa vijigazeti uchwara vya kupuuza ambavyo kazi yake kubwa chini ya usimamizi wa Dr. Abass ni kuwaondoa wa tanzania kwenye Agenda za msingi, kutukana watu na kulet chuki kwenye jamii.
mkuu mbona kale kakaratasi ka kufungia vyapati ka pale LUMUMBA mbona umikasahau? au hakahusiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika awamu hii ya tano kumejitokeza viherehere wasiokuwa na taluma na wala wasioheshimu taaluma ya habari na kufungua vijigazeti vyenye propaganda za kijinga. Pamoja na ukweli kuwa hata zile media zilizokuwa zinaheshimika siku za nyuma nazo kujigeuza kuwa za ovyoovyo siku hizi, lakini vijigazeti vifuatavyo ni vya kufungia nyama na wala watanzania msihangaike na upuuzi unaoandikwa humo.

1. Tanzanite ( Msiba)
2. Fahari yetu ( Msiba)
3. Jamvi la Habari ( Habibu Mchange)
4. La jiji ( Ngasa/ Dr. Abass)
5. The Echo ( Kiingereza cha ovyo)
6. The Observer ( kiingereza cha ovyo)
7. Tazama Tanzania

Hiyo ni orodha ya msingi kabisa wa vijigazeti uchwara vya kupuuza ambavyo kazi yake kubwa chini ya usimamizi wa Dr. Abass ni kuwaondoa wa tanzania kwenye Agenda za msingi, kutukana watu na kulet chuki kwenye jamii.
Ni vipeperushi vya kipumbavu kuwahi kutokea nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika awamu hii ya tano kumejitokeza viherehere wasiokuwa na taluma na wala wasioheshimu taaluma ya habari na kufungua vijigazeti vyenye propaganda za kijinga. Pamoja na ukweli kuwa hata zile media zilizokuwa zinaheshimika siku za nyuma nazo kujigeuza kuwa za ovyoovyo siku hizi, lakini vijigazeti vifuatavyo ni vya kufungia nyama na wala watanzania msihangaike na upuuzi unaoandikwa humo.

1. Tanzanite ( Msiba)
2. Fahari yetu ( Msiba)
3. Jamvi la Habari ( Habibu Mchange)
4. La jiji ( Ngasa/ Dr. Abass)
5. The Echo ( Kiingereza cha ovyo)
6. The Observer ( kiingereza cha ovyo)
7. Tazama Tanzania

Hiyo ni orodha ya msingi kabisa wa vijigazeti uchwara vya kupuuza ambavyo kazi yake kubwa chini ya usimamizi wa Dr. Abass ni kuwaondoa wa tanzania kwenye Agenda za msingi, kutukana watu na kulet chuki kwenye jamii
Umeyapa hadhi kubwa sana kwamba yanafungiwa nyama, haya magazeti hayafai hata kufungia SALAMA
 
Back
Top Bottom