Orodha ya idadi ya medali za Olimpiki kwa kila nchi kutoka Africa

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,961
2,138
Bara la Afrika ni mshiriki mxuri wa michezo ya Olimpiki kuanzia kule Rome mwaka 1960 ambapo shujaa wa Afrika Abebe Bikila alitwaa medalu ya dhahabu katika mbio za marathon kwa muda wa saa 2:15:16.2 na ushindi huu ndio ulioleta medali ya kwanza ya olimpiki kutwaliwa na nchi ya Kiafrika. Kuanzia mashindano ya olympiki ya mwaka 1968 huko Mexico, nchi za kiafriks zikiongozwa na Kenya na Ethiopia zimekuwa zikionesha mafanikio makubwa.

Katika ushiriki huu tangu wakati huo Afrika limekuwa ni bara lisilofanya vizuri katika michezo hii.

Mwaka huu Afrika iluwakilishwa na nchi zaidi ya 30 katika michezo hii, lakini zilizotoa ba medali ni chache tu. Hii hapa ni orodha ya baadhi ya mataifa ya Afrika yalivyoorodheshwa katika jedwali la medali katika michezo ya Rio de Janeiro iliokamilika.

Baadhi ya mataifa ya Afrika yalivyoorodheshwa katika jedwali la medali katika michezo ya Rio iliokamilika.

KENYA ilikuwa katika nafasi ya 15
DHAHABU:
Jemima Sumgong - Marathon ya wanawake
David Rudisha - Mita 800 wanaume
Faith Kipyegon - Mita 1500 wanawake
Conseslus Kipruto -Mita 3000 wanaume kuruka viunzi na maji
Vivian Cheruiyot - Mita 5000 wanawake
Eliud Kipchoge - Marathon wanaume
FEDHA:
Paul Tanui - Mita 10,000 wanaume
Vivian Cheruiyot - Mita 10,000 wanawake
Hyvin Kiyeng - Mita 3,000m kuruka viunzi na maji-wanawake
Boniface Mucheru Tumuti - Mita 400m kuruka viunzi-wanaume
Hellen Obiri - Mita 5000-wanawake
Julius Yego - Kurusha mkuki-wanaume
SHABA:
Margaret Wambui - Mita 800-wanawake
(Alipokonywa medali -Ezekiel Kemboi - Mita 3000 kuruka viunzi na maji.

AFRIKA KUSINI ilikuwa katika nafasi ya 30
DHAHABU:
Wayde van Niekirk - Alivunja rekodi ya dunia-Mita 400-wanaume
Caster Semenya - Mita 800-wanawake
FEDHA:
Cameron Van Der Burgh - Mita 100 Breaststroke-wanaume
Chad Le Clos - Mita 200m Freestyle-wanaume
Lawrence Brittain & Shaun Keeling - Kupiga makasia-wanaume
Chad Le Clos - Mita 100 Fly- wanaume
Luvo Manyonga - Long Jump- wanaume
Sunette Viljoen - Kurusha mkuki-wanaume
SHABA:
Rugby Sevens - Wanaume
Henri Schoeman - Triathlon -Wanaume

ETHIOPIA ilikuwa katika nafasi ya 44
DHAHABU:
Almaz Ayana - Mita 10,000 wanawake - Rekodi ya dunia
FEDHA:
Genzebe Dibaba - Mita 1500- wanawake
Feyisa Lilesa - Marathon -wanaume
SHABA:
Mare Dibaba - Marathon- wanaume
Tamirat Tola - Mita 10,000 -wanawake
Tirunesh Dibaba - Mita 10,000- wanawake
Almaz Ayana - Mita 5000- wanawake
Hagos Gebrhiwet - Mita 5000- wanaume

IVORY COAST ilikuwa katika nafasi ya 51.
DHAHABU:
Cheick Sallah Cisse - Taekwondo-Wanaume chini ya kilo 80
SHABA:
Ruth Gbagbi - Taekwondo- Wanawake chini ya kilo 67

ALGERIA equal 62nd on overall Medal table:
FEDHA:
Taoufik Makhloufi - Mita 800- wanaume
Taoufik Makhloufi - Mita 1500- wanaume

BURUNDI ilikuwa ya 69
FEDHA:
Francine Niyonsaba - Mita 800-wanawake

NIGER ilikuwa katika nafasi ya 69
FEDHA:
Abdoulrazak Issoufou Alfaga-Taekwondo-wanaume chini ya kilo 80

MISRI ilikuwa katika nafasi ya 75
SHABA:
Sara Ahmed - Kubeba uzani kilo 69
Mohammed Mahmoud - Kubeba uzani kilo 77
Hedaya Wehaba -Taekwondo wanawake kilo 57

TUNISIA ilikuwa katika nafasi ya 75
SHABA:
Ines Boubakri - Fencing- Wanawake
Marwa Amri - Miereka -Wanawake kilo 58
Oussama Oueslati - Taekwondo -wanaume chini ya kilo 80

MOROCCO ilikuwa nafasi ya 78
SHABA:
Mohamed Rabii - Masumbwi uzani wa Welterweight

NIGERIA ilikuwa katika nafasi ya 78
SHABA
Timu ya kandada ya -wanaume
 
Bara la Afrika ni mshiriki mxuri wa michezo ya Olimpiki kuanzia kule Mexico mwaka 1964 baada ya nchi za Kiafrika kujipatia uhuru. Tangu miaka hiyo ya 1964 ni Kenya na Ethiopia tu ndizo zimekuwa zikionesha mafanikio makubwa.

Hili nijukwaa la siasa, hii habari SI ya kisiasa
 
Sisi Wabongo hakuna mchezo tunaoweza, hata ule wa kupiga Shato pori (S. P) hatuuwezi
 
Kati ya vitu ambavyo hatuvijali ila ingekuwa a good opportunity ya sisi kujitangaza kama taifa, ni sports
 
rio-olympics-jpg.385989

Masikini Tanzania...!
 
Back
Top Bottom