Ifuatayo ni orodha ya Watanzania ambao wanaeneza na kupandikiza ukabila,udini,ufisadi,imani potofu, uongo,chuki,vitisho,ukanda,uzandiki,n.k....wameingia hapa kutokana na maneno,mitazamo,au michango yao katika mada au matukio mbalimbali katika miaka ya karibuni,hasa wakati wa utawala huu wa JK..the list is not exhaustive, unaweza kuongeza wa kwako pia........
1. Makwaia wa Kuhenga, from Je Tutafika? CHANNEL TEN
2. Game Theory, member of JAMII FORUMS
3. Reginald Mengi, Mwenyekiti wa IPP
4. Seif Sharrif Hamad, Katibu Mkuu CUF
5. Dr. Wilbroad Slaa, Katibu Mkuu CHADEMA
6. Yusuph Makamba, Katibu Mkuu CCM
7. Sheikh Yahya, Mnajimu maarufu
8. Salva Rweyemamu, Msemaji Ikulu
please,justfy!.....ifuatayo ni orodha ya watanzania ambao wanaeneza na kupandikiza ukabila,udini,ufisadi,imani potofu, uongo,chuki,vitisho,ukanda,uzandiki,n.k....wameingia hapa kutokana na maneno,mitazamo,au michango yao katika mada au matukio mbalimbali katika miaka ya karibuni,hasa wakati wa utawala huu wa jk..the list is not exhaustive, unaweza kuongeza wa kwako pia........
1. Makwaia wa kuhenga, from je tutafika? Channel ten
2. Game theory, member of jamii forums
3. Reginald mengi, mwenyekiti wa ipp
4. Seif sharrif hamad, katibu mkuu cuf
5. Dr. Wilbroad slaa, katibu mkuu chadema
6. Yusuph makamba, katibu mkuu ccm
7. Sheikh yahya, mnajimu maarufu
8. Salva rweyemamu, msemaji ikulu
rostam aziz.......mkurugenzi wa caspianwameingia hapa Jamvini JF,ambapo wewe kama mdau unapaswa kuongeza mwingine au wengine kwenye hii orodha..........