Tonny JF-Expert Member Sep 13, 2010 216 43 Mar 18, 2012 #42 Mungi said: Hivi hakunaga jukwaa la Comedy? Kama hakuna hapa ni mahala pake kwakuwa inacomedia siasa za bongo. Click to expand... siasa za bongo ndo komed yenyewe so hamna haja ya kuweka majukwaa mawili
Mungi said: Hivi hakunaga jukwaa la Comedy? Kama hakuna hapa ni mahala pake kwakuwa inacomedia siasa za bongo. Click to expand... siasa za bongo ndo komed yenyewe so hamna haja ya kuweka majukwaa mawili
Negrodemus JF-Expert Member Dec 30, 2010 2,316 677 Mar 21, 2012 #43 Manywele. said: Chadema hawana wanafiki kama hao Click to expand... Wamebadirika.
Negrodemus JF-Expert Member Dec 30, 2010 2,316 677 Mar 21, 2012 #44 King Kong III said: Wamefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaa,Piga Chiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Click to expand... Angalien haka kapicha natumia simu nimeshindwa kuauplod vyema Siamin kama walikuwa hvi na mbwembwe zote za kukashifu wenzao.. Attachments Mpoki na joti.jpg 59.3 KB · Views: 57
King Kong III said: Wamefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaa,Piga Chiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Click to expand... Angalien haka kapicha natumia simu nimeshindwa kuauplod vyema Siamin kama walikuwa hvi na mbwembwe zote za kukashifu wenzao..
chumvichumvi JF-Expert Member May 6, 2010 1,205 304 Mar 31, 2012 #46 hawajaishiwa sema wa2 cku hizi wamewachoka kwasababu ya wao kuzunguka majukwaani
Y ymcb Member Mar 26, 2012 15 1 Mar 31, 2012 #47 jamaan walikua hawajui dira ya maisha ikoje wametumiwa na ccm wakabwagwa pwaaaaaaaa tupiliwa mbali wasubir waitwe tena 2015
jamaan walikua hawajui dira ya maisha ikoje wametumiwa na ccm wakabwagwa pwaaaaaaaa tupiliwa mbali wasubir waitwe tena 2015
Sumba-Wanga JF-Expert Member Feb 2, 2011 5,349 1,224 Mar 31, 2012 #48 Comedy, like any art needs constant creativity.............
Mshuza2 JF-Expert Member Dec 27, 2010 11,015 16,447 Mar 31, 2012 #49 Labda wanamsubiri mwenzao apone!