Loyal_Merchant
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 623
- 268
Kuna simu yangu ya samsung ninayo model yake ni GT-S7562 duos ilikuwa na matatizo kwamba iliupdate software ikahitaji kurestart ilipomaliza. Baada ya kurestart haikuwaka tena ikawa inaishia katika samsung logo tuu na haiendelei, hata nilipojaribu hard reset haikukubali (kuzima na kupress vol +, home & power at a time ). Ila kwa kupress vol -, home & power at startup inakupeleka katika download mode na ndio nilotumia kuflash simu.
Nikaingia mzigoni kuona nitatatua vipi, nikapita XDA nikaona wamerecomend utumie ODIN na simu uiflash ikiwa katika download mode. Nikatafuta custom ROM yake katika net nikaipata moja ambayo walikuwa wamerecomend kwa kenya na ilikuwa made around march 2013. Nilipoipata nikafanya flashing ya ROM nikitumia ODIN. simu ikamaliza succesful, issue imekuja.
1. kwanza ikiwaka inatokea alama ya triangle ina warning sign.
2. Network haishiki kabisa ukiweka line yoyote ile. Nikagoogle tatizo, nimeona wadau wengi wamequote kuwa ni problem inayohusiana na baseband.
3. Naona kama ipo a bit slow.
4. Stil nikizima na nikipress vol +, power & home buttons kwa pamoja nothing happens. Ila vol -, power & home inafanya kazi na kukuingiza katika download mode.
Je hapa nifanyaje kufix hizo issue. simu sasa inawaka fresh tuu. Naombeni msaada na mawazo yenu wadau kusolve hii issue.