masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,802
- 16,836
- Thread starter
-
- #21
kifupi ni kwamba hao vikaragosi wa TBC1, EATV, ITV, STAR TV wote hamnazo....
Hovyo sana. Niliangalia mpaka nikajutia. Dakika 15 zinapotea eti mtu anafuatwa na mdudu.
Mie nimebaki na KANJANJA TIME tu Chanel 10. Maana hawa matukio yao ni ya ukweli wanayoyaonyesha.
"game" yao ishapita na sasa washazeka.wajikite tu kwenye ujasiriamali.masanja akazie hapo hapo kwenye uhubiri mana nao siku hizi unalipa vizuri.
katika kitu kilinikera ndo hicho
15 min mtu anatafuta mdudu wat the hell
alafu sasa walicheza scene 3 tu
ambazo hakuna hata moja inachekeaha
hivi ALICHOKIFNYA MPOKI ULIKIELEWA????
anongea upuuzi tu ambao hauchekeshi jamani
embu waangalie Mr bean japo clip ya back to school
hakuna anachoongea lakini problem anazosababisha unacheka hadi huruma
yupo creative.ila hawa kama wanassukumwwa au kupangiwa waigize nini
kuna aatu wanase,a bora hao
aiseee mi kifupi nishakosa kipindi cha kuangalia
ukikubali kutumika ccm kinachofuata ni kuporomoka umaarufu .kama huamini fuatilia wote waliotumika hivi sasa wapo kama kondomu
Habari yao imekwisha.
Vengu anajifanya mtabiri wa hali hewa alafu anatumia google earth kuonyesha uwanja wa taifa. Walinikera sana.
First impression is the last one.
Sijui kama nitaangalia tena.
taarifa ya habari inatosha
siyo ya TBC lakini
maana nao habari nzima vipengele flani vya maslahi ndo huwekwa
kweli mkuu wamekutoka hao jamaa
yule anaitwa wakuvanga
alitumia lugha chafu sana
"eti ukitembea kishoga shoga shoga"
Kwa commedy naangalia mizengwe itv n offside ntv
Aisee hivi kile ni nini au ni macho yangu ki ukweli li kipindi halivutii hata kidogo haichekeshi hata kidogo nimeshangaa sana ina maana nyinyi ndo mlikaaa miez kadhaa mkajipanga ndo kmmerudi kwa staili hii.
Asiee chukueni hii kama changamoto.
Mkajipange.
Umelazimishwa??
Tuachieni wenywe comedy yetu tuangalie we c uweke tu Tv ya kimasai uangalie
tv ya kimasai ndo ipi hiyo
tofautisha chanel na tv
mpuuuzi wa hedi wewe
umelazimisha na weqe kuja kukoment hapa kama uzi haukuhusu unakuja kufanya nini shwaini wewe
ndo maana bado ni Boy mpuuuzi mkubwa weqe
Sasa ulitaka niwe girl :what:
Una maneno Matamu kama juice ya strawberryí-¼í¿ƒí-¼í¿ƒí-¼í¿ƒí-¼í¿ƒ
nilitaka uwe mwanaume
Nipe sifa 2 za mwanaume