Original Battery ya laptop DELL INSPIRON N5040

Original Battery ya laptop DELL INSPIRON N5040

Kaveli

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
5,458
Reaction score
8,961
Wakuu, heshima kwenu wote!

Nina laptop DELL INSPIRON N5040, betri yake imekufa kabisa! haiwezi kutunza power ata dakika 1 bila ku-plug kwenye umeme! Laptop niliinunua mpya mwaka juzi pale SAPNA Electronics, awali betri ilikuwa na uwezo wa kutunza power for 3 hrs without plugging kwenye umeme. Last week Nilienda pale pale SAPNA Electronics kuulizia hiyo battery ila wakasema hawana.

So naomba ushauri wenu wa kitaalamu, kwa hapa Dar... ni wapi naweza pata original strong betri yenye kutunza power for 5hrs+ ?? for dell inspiron N5040. Au ni vyema niagize nje ya nchi ili kupata original battery?

Additional concern: Je, ni kweli kuwa umeme wa solar unachangia kuua betri ya laptop?

Thanks in advance!

CC: Chief-Mkwawa , Mwl.RCT ,


-Kaveli-
 
Pia Binafsi nasubili Majibu hapa maana na mimi ni mhanga wa hili tatizo the same Dell
 
Mkuu Chief-Mkwawa, please pitia mtaa huu. Your advice is urgently needed.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom