ORGANIC SUSTAINABLE AGRICULTURE. kilimo hai endelevu

ORGANIC SUSTAINABLE AGRICULTURE. kilimo hai endelevu

Organic Uncle

Senior Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
167
Reaction score
331
Kilimo hai endelevu

  • Kilimo hai – kilimo kisichotumia kemikali za viwandani kama vile mbolea na dawa za kuua wadudu; hutegemea mbinu za asili.
  • Endelevu – kilimo kinacholinda mazingira, kuendeleza uzalishaji wa muda mrefu, na kuzingatia ustawi wa jamii na uchumi.
ELIMIKA
 
Back
Top Bottom