Order ya simu

Kama wewe una mashaka na polisi kwanini mteja asiwe na mashaka na wewe?
Kama kuandikishana polisi kabsa central sio uje na polisi usema huyu hapa tuandikishane hapoo sitoweza kama ni polis kabsa hakuna shidaah
 
Mteja kakuambia mkaandikishane kituo cha polisi.

Ok pia shida ni nini kama mkiandikishana na polisi hata nyumbani kama hela anakua kakupa?? Unahofia nini??
 
Wewe eti muandikishane nyumban unijie tu napolisi alafu uje ugeuke mbele uko kuandikishana kituo chapolisi kabsa na kila mtu anabak na kop ya maandishi yake lakn nyumban hapana
 
Umesema huna ofisi... sasa kumbe tunaandikishiana wapi? Na kwenye kuandikishiana si lazima kuwe na mashahidi? Kuna ubaya gani shahidi yangu akiwa polisi?
 
Wewe siumesema kituo chapolis au
 
hivi inakuaje mtu n akili zako bila limbwata unaamua kutuma hela kwa usiemjua,hana ofisi......out of blue anasema ni advance...huo ni ukoromije....sorry kama nimekuoffend
 
Wewe umesema tukaandikishane kituo chapolisi kaka kwan kuna tatizo iliupate uhakika na uwee na aman sasa uje na polisi nyumban kwangu tuandikishane inakuaje sasa hapo tunaandikishana polisi pale kila mtu napili lazma barua ya serikali za mitaa ambayo itaambatanisha nyumba namba ili iwee raisi hata wewe kunifata na polisi kama nikikudhulumu uwez kwenda mkaandikishana polis bila barua ya serikali za mitaa kaja
 
mkuu fungua ofisi tabu zote zitakwisha otherwise mimi ntakua nakuona kanjanja
 
Ofisi pole pole kaka usione mtu ana ofis akuanza hv tu kwa hyoo pole pole soon tutakuwa nayoo
 
Bora umsaidie ili ajue kwanini anashambuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…