ORDER YA MAHAKAMA

h.imani

Senior Member
Oct 2, 2011
189
94
Naomba kujua, Kama mahakama imetoa hukumu ya mdaiwa Wangu kulipa Deni analodaiwa na deadline ikapita hajaanza hata kulipa. Inabidi nichukue hatua gani za kisheria?

Msaada wenu please.
 
Rudi mahakamani kaombe utekelezaji wa hukumu (inaitwa kukazia hukumu)
 
Kingereza cha nini tena mkuu. We rudi mahakamani kawaambie hata hivyo hivyo kwa kiswahili watakuelewa....ila kama sikosei inaitwa EXECUTION OF THE DECREE
 
Back
Top Bottom