Asante sana.wanasheria njooni huku
Hakimu alikubali! Sielewi kwa nini. Kwa bahati mimi sina nakala ya "order XXVII" hii.HIYO NI SUITS BY OR AGAINST MILITARY PERSONNEL. JAPO SIJAKUELEWA INAWEZEKANA ALIKUPIGA P.O akafungua fresh suit ungetoa maelezo ya nini mlikuwa mnadaiana mpk hapo ulipofika
Hicho uliandika hapo hakina uhusiano wowote na hoja yako, unless umenukuu vibaya hiyo order.
Maana Order xxxvii inahusiana military persons hasa wanapitakiwa kuteua mtu awawakilishe katika shauri mahakamani.
Sijaona connection hapo.
Niliandika vizuri "Order XXVII", siyo "Order XXXVII".
Sawa, lakini waliniambia kwamba si kuhusu "military personnel"Ni typing error tu nilimaanisha XXVII
Acha ubahili. Nenda kwa wakili toa hela uhudumiwe.Habari zenu?
Tafadhali mnisaidie. Mwanamke fulani huku Zanzibar anayejaribu kunitapeli alifungua kesi ya madai, lakini alishindwa kupinga majibu yangu na hati zangu, kwa hiyo alisema mahakamani kwamba halikuwa haupo tayari kusikiliza pingamizi za awali amua kuondosha shauri la kusikiliza pingamizi hizi awali kwa mujibu wa "Order XXVII r, i subr (1,2,3)" ili aweze kuleta "fresh suit" katika mahakama. Baada miezi 7 alifungua kesi ile ile kwa kutoa maombi na madai yale yale bila kujali pingamizi zangu!
Ningependa kujua "Order XXVII r, i subr (1,2,3)" inasema nini na kwa nini huyu mtapeli aliweza kufungua kesi ile ile kwa mara ya kwanza.
Asanteni sana
Kuacha ubahili si rahisi, ila kujifunza adabu, heshima na hata maana ya "forum" ni rahisi sana kwa mwenye akili.Acha ubahili. Nenda kwa wakili toa hela uhudumiwe.
Samahani sijaelewa.Mkuu hebu nipm nikusaidie maana hata hyo po hujasema ni ya kitu gan!
we ni wa bara na demu ni wa zenj?jibu tu ukweli!Habari zenu?
Tafadhali mnisaidie. Mwanamke fulani huku Zanzibar anayejaribu kunitapeli alifungua kesi ya madai, lakini alishindwa kupinga majibu yangu na hati zangu, kwa hiyo alisema mahakamani kwamba halikuwa haupo tayari kusikiliza pingamizi za awali amua kuondosha shauri la kusikiliza pingamizi hizi awali kwa mujibu wa "Order XXVII r, i subr (1,2,3)" ili aweze kuleta "fresh suit" katika mahakama. Baada miezi 7 alifungua kesi ile ile kwa kutoa maombi na madai yale yale bila kujali pingamizi zangu!
Ningependa kujua "Order XXVII r, i subr (1,2,3)" inasema nini na kwa nini huyu mtapeli aliweza kufungua kesi ile ile kwa mara ya kwanza.
Asanteni sana
Kwa kawaida mimi ninasema ukweli! Wote wawili tumezaliwa bara lakini tunaishi Zanzibar. Tafadhali unieleze sababu ya swali lako.we ni wa bara na demu ni wa zenj?jibu tu ukweli!
Mara nyingi ukiwa mbara against mzenj wengi wanafahamiana na mbara lazima ulaliwe!na kama mwenzio kachukkuliwa na mzenj pia kuwa makini!Kwa kawaida mimi ninasema ukweli! Wote wawili tumezaliwa bara lakini tunaishi Zanzibar. Tafadhali unieleze sababu ya swali lako.