Oral Sex Linked To Throat Cancer

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
A virus contracted through oral sex is the cause of some throat cancers, say US scientists.

HPV infection was found to be a much stronger risk factor than tobacco or alcohol use, the Johns Hopkins University study of 300 people found.

The New England Journal of Medicine study said the risk was almost nine times higher for people who reported oral sex with more than six partners.

But experts said a larger study was needed to confirm the findings.

HPV infection is the cause of the majority of cervical cancers, and 80% of sexually active women can expect to have an HPV infection at some point in their lives.

The Johns Hopkins study took blood and saliva from 100 men and women newly diagnosed with oropharyngeal cancer which affects the throat, tonsils and back of the tongue.
It is important for health care providers to know that people without the traditional risk factors of tobacco and alcohol use can nevertheless be at risk of oropharyngeal cancer
Dr Gypsyamber D'Souza, study author

They also asked questions about sex practices and other risk factors for the disease, such as family history.

Those who had evidence of prior oral HPV infection had a 32-fold increased risk of throat cancer.

HPV16 - one of the most common cancer-causing strains of the virus - was present in the tumours of 72% of cancer patients in the study.

Risk factors

There was no added risk for people infected with HPV who also smoked and drank alcohol, suggesting the virus itself is driving the risk of the cancer.

Oral sex was said to be the main mode of transmission of HPV but the researchers said mouth-to-mouth transmission, for example through kissing, could not be ruled out.

Most HPV infections clear with little or no symptoms but a small percentage of people who acquired high-risk strains may develop a cancer, the researchers added.

Study author Dr Gypsyamber D'Souza said: "It is important for health care providers to know that people without the traditional risk factors of tobacco and alcohol use can nevertheless be at risk of oropharyngeal cancer."

Co-researcher Dr Maura Gillison said previous research by the team had suggested there was a strong link.

But she added: "People should be reassured that oropharyngeal cancer is relatively uncommon and the overwhelming majority of people with an oral HPV infection probably will not get throat cancer."

A vaccine which protects against cervical cancer caused by HPV strains 6, 11, 16 and 18, and also against genital warts is available and the researchers said the study provided a rationale for vaccinating both girls and boys.

But whether the vaccine would protect against oral HPV infection is not yet known.

Dr Julie Sharp, science information officer at Cancer Research UK, said: "There is conflicting evidence about the role of HPV, and this rare type of mouth cancer.

"As this was a small study, further research is needed to confirm these observations."

"We know that after age, the main causes of mouth cancer are smoking or chewing tobacco or betel nut, and drinking too much alcohol."

Source: BBC Health
 
Wanasayansi ukiwasikiliza sana hutakula raha....ina maana chumvini sasa stop?
 
Wanasayansi ukiwasikiliza sana hutakula raha....ina maana chumvini sasa stop?

Ni kweli kabisa, hawa jamaa wanakujaga na tafiti zao kila kukicha na nyingine zina contradictions kibao. Mimi huzisoma na kuziacha hapo hapo. Kuna moja walitoa juzi juzi eti wanaopenda kunya chai ya moto sana kuna uwezekano mkubwa wa kupata cancer ya Tumbo.
 
HE!!!!:eek::eek: Yamekuwa haya tena....
Kuna mtafiti mmoja aliniambia pia kuwa hata hewa tuvutayo ina vijidudu...hapo ndipo nilipochora mstari....Niliona wanatuongopea tu!!
 
Maendeleo yoyote duniani yanatokana na tafiti. Ukiwa unafanya utafiti ukipata data zako wanafanya statistics kwa hiyo lazima upate conclusion out of that statistics. Na matokeo ya tafiti mbalimbali lazima yatangazwe. Sema sisi Tanzania hatuna chombo kinachounganisha watafiti na watunga sera hivyo matokeo ya tafiti zetu yanabakia kwenye vitabu tu. Kuna tafiti nyingi zinafanyika tanzania hasa kuhusu dawa za malaria kutoka mitishamba lakini sijasikia hata mara moja wakitangaza hayo matokeo! Naomba watanzania wenzangu tuwe tunaheshimu matokeo ya tafiti japo inabidi pia kuwa makini maana wakati mwingine huwa kuna agenda ya siri. Lakini hili la HPV kusababisha kansa ya koo haliwezi kuwa na agenda ya siri yoyote. Mnaofanya hivyo kumbuka kuwa ni rahisi hata kupata oral thrush kama mamsap wako sio msafi!!!!!!!!
 
Ni kweli kabisa, hawa jamaa wanakujaga na tafiti zao kila kukicha na nyingine zina contradictions kibao. Mimi huzisoma na kuziacha hapo hapo. Kuna moja walitoa juzi juzi eti wanaopenda kunya chai ya moto sana kuna uwezekano mkubwa wa kupata cancer ya Tumbo.

Cha muhimu kujua pale ni kuwa sio oral sex per se bali ni hiyo HPV-16 ndio wanaosababisha. Kwa hiyo kama uko sure partner wako hana HPV, twende kazi ... kama inaswihi kwako!
 
Maendeleo yoyote duniani yanatokana na tafiti. Ukiwa unafanya utafiti ukipata data zako wanafanya statistics kwa hiyo lazima upate conclusion out of that statistics. Na matokeo ya tafiti mbalimbali lazima yatangazwe. Sema sisi Tanzania hatuna chombo kinachounganisha watafiti na watunga sera hivyo matokeo ya tafiti zetu yanabakia kwenye vitabu tu. Kuna tafiti nyingi zinafanyika tanzania hasa kuhusu dawa za malaria kutoka mitishamba lakini sijasikia hata mara moja wakitangaza hayo matokeo! Naomba watanzania wenzangu tuwe tunaheshimu matokeo ya tafiti japo inabidi pia kuwa makini maana wakati mwingine huwa kuna agenda ya siri. Lakini hili la HPV kusababisha kansa ya koo haliwezi kuwa na agenda ya siri yoyote. Mnaofanya hivyo kumbuka kuwa ni rahisi hata kupata oral thrush kama mamsap wako sio msafi!!!!!!!!

Wazo!!!

Ulilotoa ni wazo la nguvu!

Tafadhali lizingatiwe!!
 
Cha muhimu kujua pale ni kuwa sio oral sex per se bali ni hiyo HPV-16 ndio wanaosababisha. Kwa hiyo kama uko sure partner wako hana HPV, twende kazi ... kama inaswihi kwako!

Du kabla haujashuka kwanza unamuuliza mwenzako vipi hapo kuna HPV-16 anakuuliza ndio nini sasa ni kondom? unajibu mimi nimesoma JK, wote mnabaki mnashangaa, mnaamua kunyonyana tu kwani hata mfanye nini hiyo HPV hamtoifahamu. jamaani kama mna dhamira ya kutusaidia wenzenu si bora mkazivunja hizo jargon hata sisi tusio madaktari tukazifahamu. Oooh HPV my a$$
 
Maendeleo yoyote duniani yanatokana na tafiti. Ukiwa unafanya utafiti ukipata data zako wanafanya statistics kwa hiyo lazima upate conclusion out of that statistics. Na matokeo ya tafiti mbalimbali lazima yatangazwe. Sema sisi Tanzania hatuna chombo kinachounganisha watafiti na watunga sera hivyo matokeo ya tafiti zetu yanabakia kwenye vitabu tu. Kuna tafiti nyingi zinafanyika tanzania hasa kuhusu dawa za malaria kutoka mitishamba lakini sijasikia hata mara moja wakitangaza hayo matokeo! Naomba watanzania wenzangu tuwe tunaheshimu matokeo ya tafiti japo inabidi pia kuwa makini maana wakati mwingine huwa kuna agenda ya siri. Lakini hili la HPV kusababisha kansa ya koo haliwezi kuwa na agenda ya siri yoyote. Mnaofanya hivyo kumbuka kuwa ni rahisi hata kupata oral thrush kama mamsap wako sio msafi!!!!!!!!

Kwa muda mrefu watafiti wameachwa kama watoto yatima. Mchango wa taifa kwenye tafiti ulikuwa mdogo sana, labda ndio maana hakuna la maana walilolionyesha hadi hivi sasa.
Lakini juzijuzi Kikwete ametangaza kuwa kuanzia bajeti ijayo, tafiti zitatengewa asilimi moja ya bajeti nzima ya serikali. Labda baada ya ongezeko hili la bajeti tunaweza kuanza kuona matokeo ya tafiti hizi kwa sababu huenda zilikuwa hazikamilishwi kutokana na ufinyu wa bajeti au zilikuwa zinakamilishwa na matokeo yake kupelekwa kwa yule aliyetoa fdha kwa ajili ya tafiti
 
Mimi sio daktari lakini kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba HPV ni kifupi cha maneno human papilloma virus ambao wanaambukiza kwa njia ya kujamihiana na mtu anakuwa hajijui kama anao hao virus kwa hiyo kukuambukiza ni rahisi. "Genital human papillomavirus (HPV) is the most common sexually transmitted infection (STI). The virus infects the skin and mucous membranes. There are more than 40 HPV types that can infect the genital areas of men and women, including the skin of the penis, vulva (area outside the vagina), and anus, and the linings of the vagina, cervix, and rectum. You cannot see HPV. Most people who become infected with HPV do not even know they have it".
Nchi za nje wanawake wanapima kila baada ya miaka mitatu ili kuhakikisha huna maambukizi. Kwa hapa Tz sina uhakika ni hosp gani wanapima. Nawashauri akina mama wote wajitahidi kupima ili tuweze kuepuka kanza ya vizazi maana ukigundulika mapema unao wanatibika.

"AS USUAL STICK TO SINGLE TRUSTED PARTENER"
 
Du kabla haujashuka kwanza unamuuliza mwenzako vipi hapo kuna HPV-16 anakuuliza ndio nini sasa ni kondom? unajibu mimi nimesoma JK, wote mnabaki mnashangaa, mnaamua kunyonyana tu kwani hata mfanye nini hiyo HPV hamtoifahamu. jamaani kama mna dhamira ya kutusaidia wenzenu si bora mkazivunja hizo jargon hata sisi tusio madaktari tukazifahamu. Oooh HPV my a$$

Kabla ya kuingia chumvini huwa unaulizia kuhusu HIV? Please cover your a$$ whenever possible.
 
Back
Top Bottom