Habarini wadau,Mimi ni mmoja kati ya watu waliofanya interview leo pale ukonga moja kati ya vitu walivosema twende navyo ni picha 2 lakini cha kushangaza hawakuzihitaji hebu nisaidieni wale waliofanya leo je kuna ambao waliuliziwa picha?
Pole sana. Mi sio mmojawapo ila unaweza kuta wamesahau kuuliza. Vp kuhusu vyeti wameuliza?
Habarini wadau,Mimi ni
mmoja kati ya watu waliofanya interview leo pale ukonga moja kati ya
vitu walivosema twende navyo ni picha 2 lakini cha kushangaza
hawakuzihitaji hebu nisaidieni wale waliofanya leo je kuna ambao
waliuliziwa picha?
Yap hivo tena lazima vikaguliwe
Maybe maswali yalikuwa saba off course average questions it takes approximately 10 minutes
Habarini wadau,Mimi ni mmoja kati ya watu waliofanya interview leo pale ukonga moja kati ya vitu walivosema twende navyo ni picha 2 lakini cha kushangaza hawakuzihitaji hebu nisaidieni wale waliofanya leo je kuna ambao waliuliziwa picha?
Unaweza tupa swali mojawapo walilokuuliza mkuu?
Aaamin mungu akubali dua lakoThanks ndugu yang ubarikiwe kwa hilo na nakuombea uwe moja ya watakao chaguliwa
Manslezy vipi? lugha gani inatumika?
Ahsante, lingine?Duties zako kazini
Tell us about yourself
Hili swali huwa tunalijibu kimakosa sana,kesho ntamwaga desa hapa