Oral Interview, Dodoma University.

Oral Interview, Dodoma University.

Ptz vuta subira kwani hawa jamaa sometimes huchukuwa mda mrefu sana kuita watu toka mda mliyofanyiwa usaili mpaka kuitwa kuanza kazi. Nina experience ya matukio kama hayo toka kwa jamaa zangu but mwisho wa siku from no where walipigiwa simu wakaripoti makazini.
Asante mkuu Chwechinyong!
 
Habari yako mwana JF,

Chuo kikuu cha Dodoma wameanza kuita watu kwenye oral interview kwa kuwapigia simu watu walio kuwa shortlisted. Yaani waliofanya vizuri kwenye Written Interview.
Interview hiyo kufanyika Mapema mwezi wa Tatu.
Kwa yeyote aliyepigiwa simu ama kupata Taarifa Hizo za ni siku gani/tarehe na watu wa position gani atujulishe.

Mda mwema.

kwa mdau yoyote mwenye msaada atutupie tangazo la kazi tuangalie vigezo
 
Back
Top Bottom