bukoba04 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 1,402 Reaction score 1,293 Feb 9, 2019 #1 Habar Watalamu... Nipo kwenye maandalizi ya kufanya mtihani wa kwanza wa OCA... yaani najiandaa na SQL Fundamenta I (EXAM IZO-051).. Sasa natafuta mtu ambaye anaweza kunipa msaada wa kukonect "Sql Developer" kwa ajili ya kuanza kufanya mazoezi... Naomben msaada nishaangaika sana mitandaoni sijaweza kuvuka.. Nashukuru Sent using Jamii Forums mobile app
Habar Watalamu... Nipo kwenye maandalizi ya kufanya mtihani wa kwanza wa OCA... yaani najiandaa na SQL Fundamenta I (EXAM IZO-051).. Sasa natafuta mtu ambaye anaweza kunipa msaada wa kukonect "Sql Developer" kwa ajili ya kuanza kufanya mazoezi... Naomben msaada nishaangaika sana mitandaoni sijaweza kuvuka.. Nashukuru Sent using Jamii Forums mobile app
Lalo Salamanca JF-Expert Member Joined Dec 9, 2012 Posts 1,553 Reaction score 1,149 Feb 9, 2019 #2 Mbona kuna video za kutosha tu YouTube za kufanya hiyo kitu. Sent using Jamii Forums mobile app