Option ya kubadili 'storage' kwenye Samsung J5.

Makobus

Senior Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
170
Reaction score
111
Habarini wanaJF
Mimi ni mtumiaji mpya wa simu hii Samsung J5. Storage kwenye device yenyewe imejaa kiasi kwamba inaninyima nafasi ya kuinstall apps mpya.
Nikitaka kubadili default storage iwe sd card, sioni hiyo option.
Naomba mnisaidie.
 
nasubiri jibu na mimi
 
hakikisha hio j5 yako ina android 6 kama ipo chini ya hapo i update.

kanunue memory card kuanzia class 10, memory card za aggrey hazifai vile vimeo vya class 4 vitafanya simu iwe slow. kujua memory card class 10 pitia hapa

Unatumia memory card ya aina gani? je ni sahihi kwako?

ukishakuwa na android 6 na memory card nzuri utahitaji pc na waya na adb ku comand adoptable storage ili hio memory card iwe internal memory. mfano memory card yako ni gb 16 na simu ina 8gb ukiiformat kama internal hio memory card basi simu yako itakuwa na internal 24gb. sema njia hii inafanya hio memory card itumike kwenye simu yako tu, huwezi itumia mahala pengine mpaka uiformat.

tutorial nzuri ipo hapa,
Enable Adoptable Storage for Galaxy S7 and S7 Edge

kama unaona ni ngumu tafuta mtu anaejua jua computer kidogo akufanyie. ni process ya mara moja tu.
 
Ahsante mkuu. Naingia workshop sasa nianze kama ulivyoelekeza.
 
Nimeenda vizuri lakini nilipofika kwenye kuenter sm list disks nikakwama. Sielewi sm list disks naipataje na ID ya device nayo siielewi. Njoo tena unisaidie ndugu. Samahani kwa usumbufu.
 
hope memory card umeshanunua.

1. eka adb on nenda setting kisha developer option kuipata hio adb. kama huna option ya developer setting nenda about kisha gusa mara nyingi nyingi kwenye build number ku enable hio feature.

2. ukishaeka adb on download minimal adb and fastboot kwenye computer, kisha connect simu na computer kwa usb cable.

link ya adb
[TOOL]Minimal ADB and Fastboot [1-6-17]

ukishamaliza hapo ndio unaanza kueka hizo commands. unazicopy na kupaste tu. huna haja ya kukariri
 
Chief-Mkwawa hii process ni kwa android version 6 yeyote or just samsung!?.
samsung tu. sababu samsung wameitoa kwenye menu yao ndio maana unahangaika hivyo.

simu nyengine huna haja ya kuhangaika nenda setting kisha storage utaikuta huko option ya kuformat memory card kama internal memory.

ila kumbuka ni muhimu sana memory card kuwa na speed kubwa. ikiwa na speed ndogo utaifanya kuwa slow vibaya mno.
 
Mkuu umeniacha. Hizo commands za kucopy na kupaste ni zipi? Zinaonekana baada ya kufanyaje? Nivumilie mkuu!
 
Mkuu am sorry!....Nina tv yangu ina HDMI port mbili ila natumia ving'amuzi vitatu pamoja na deki,sasa kuna jinsi ya kufanya ili vyote niweze kuviunga kwenye tv kwa wakati mmoja kwa kutumia hizohizo port mbili?......Kuna kifaa ninaweza kununua kikanisaidia katika hilo?
 
Mkuu umeniacha. Hizo commands za kucopy na kupaste ni zipi? Zinaonekana baada ya kufanyaje? Nivumilie mkuu!
hakuna ulazima wa kucopy na kupaste hio ni njia tu ya kukupunguzia kazi.

na pia mimi sijui ulichofanya huko, bila kuniambia ulichofanya na ulipoishia itakuwa ngumu kwa mimi kuelezea zaidi.
 
samsung tu. sababu samsung wameitoa kwenye menu yao ndio maana unahangaika hivyo.

simu nyengine huna haja ya kuhangaika nenda setting kisha storage utaikuta huko option ya kuformat memory card kama internal memory.

ila kumbuka ni muhimu sana memory card kuwa na speed kubwa. ikiwa na speed ndogo utaifanya kuwa slow vibaya mno.
chief kakimeo kangu kila mda nikitaka kuperuzikana kuwahivi
 
samsung tu. sababu samsung wameitoa kwenye menu yao ndio maana unahangaika hivyo.

simu nyengine huna haja ya kuhangaika nenda setting kisha storage utaikuta huko option ya kuformat memory card kama internal memory.

ila kumbuka ni muhimu sana memory card kuwa na speed kubwa. ikiwa na speed ndogo utaifanya kuwa slow vibaya mno.
chief kakimeo kangu kila mda nikitaka kuperuzi kana andika page unresponsive.you can wait for it to become responsive or kill it. linajirudiarudia kila baada mda mchache sijui shida nn?nimeshindwa kuattach file
 
umejaribu kubadili browser? kama opera mini au ucweb mini ambazo ni nyepesi?

tumia hizo uone kama itasaidia.

ikikubali pengine ni ram tu ndogo,
 
Back
Top Bottom