Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,756
🤣🤣Utawajua tu wa fight for food first friend huko Olevel
Relax mkuu wangu....
Hoja ni msanii kuleta DHIHAHA NA KEDI zenye kuchusha....
🤣🤣Utawajua tu wa fight for food first friend huko Olevel
Yawezekana wao wanaona anaongoza vibaya!Hiyo ni tafsiri yao ila aliandika "anaongoza nchi vizuri", inawezekana siyo kweli.
Yaani inawabidi watawala wetu pamoja na polisi, wafikie sehemu wapuuzi baadhi ya hivi vitu vidogo vidogo na ambavyo havina tija, wala athari zozote zile kwenye jamii.Mkuu wangu Tate Mkuu hebu vuta pumzi kwa nguvu uupe ubongo utulivu....🤣
Kwani ile picha haina DHIHAKA NA KEDI yoyote ile?!!
Ongea ukweli komredi wangu....
Sawa mkuu....ndio sanaa ilivyo....Mwananchi wa kawaida hana njia ya kumfikishia mtawala ujumbe kwa mazuri au mabaya ayafanyayo. Wananchi wana sononi na mioyo inafura kwa maovu ya viongozi. Matusi na michoro kama hiyo huwapunguzia watawaliwa maumivu ya kiakili. Kiongozi ni jalala, hata mizoga hutupiwa.
Mkuu wangu Tate Mkuu....Yaani inawabidi watawala wetu pamoja na polisi, wafikie sehemu wapuuzi baadhi ya hivi vitu vidogo vidogo na ambavyo havina tija, wala athari zozote zile kwenye jamii.
Mfano ni hizo katuni, jogging ya Bawacha, nk! Yaani havina athari yoyote ile. Kwa mfano hizo katuni, ni watu wachache sana huvutiwa kuzisoma na kuelewa!
Kwa nini zisipuuzwe tu! Kama Magufuli na ubabe wake wote ule, alichagua kuzipuuza! Maana alikua anafahamu fika namna anavyo chorwa!! Chifu Hangaya anashindwa wapi?
Kipanya alimchora sana Hayati enzi za uhai wake! Akiwa na bichwa lenye kome kubwa! Kiasi mpaka baadhi ya wadau tulihofia labda angekamatwa! Lakini wapi.Mkuu wangu Tate Mkuu....
Unaweza kunikumbusha ni katuni gani hayati Magufuli ALISHAWAHI KUCHORWA ikiwa na UJUMBE "aila" ya huo wa ndugu yetu??!!
Nani alikuambia kwamba mlaji ni wewe?Kwa hiyo lengo la msanii kuichora hiyo katuni lilikuwa ni kuelewa yeye pekee tu na si sisi walaji?!!!
Ni hivi , huyu Jumbe Brown anataka watu wote waishi kama anavyotaka yeye , hili jambo halitawezekana kamweMkuu jumbe kwamba wewe ulielewa Sana kuliko alieichora akijua analenga nini, acha izo mkuu
Relax mkuu.....🤣Nani alikuambia kwamba mlaji ni wewe?
😳😳Ni hivi , huyu Jumbe Brown anataka watu wote waishi kama anavyotaka yeye , hili jambo halitawezekana kamwe
Vipi kile kibonzo cha Masoud Kipanya hakikuwa na dhihaka ndani yake? Why huyu na si Kipanya? Ama neno KIWETE ndio limeleta sintofahamu?Mkuu wangu Nyboma...huwenda kweli "nimesherehesha" kusema AMETUKANA....ila ukiiangalia ile picha inatoa tafsiri nyingi mno za KEDI NA DHIHAKA....nakosea komredi?!!!
Hivi Jumbe Brown nani kakwambia ile cartoon ni kiongozi wetu ?!. Mchoraji yeyote akichora huchora kiongozi wetu ?
Hapana.....
Hapanaaaaaaa......
Hapana mkuu RBC ...
Siwezi kutaka watu waishi kama mimi!!
Siwezi.....
Ila......
Hivi kukumbushana kuwa fulani alikosea alipotoa DHIHAKA NA KEDI iliyopitiliza ni kosa?!!!!
Hivi ile sanaa iko sawa kabisa kwetu Watanzania....Waafrika?!!!
Hivi tumefikia kiwango kikubwa cha uliberali uliopitiliza wanaoishi wenzetu ughaibuni?!!!
Hivi ndio uhuru huo "kumdhalilisha kiongozi"?!!!
Tunauhitaji huo uhuru wa KUDHALILISHANA HIVYO?!!
Hivi kusema "fulani" anaendeshwa kwa "rimoti" na mtu baki....mtu baki kabisa ni Sawa kwako?!!
Si HISIA?!!.
Kuna USHAHIDI?!!!
Mtu anaweza kuutoa MAHAKAMANI?!!!!Khaaa
Ninaamini hujakuja KUTETEA na silaha ya "OBSCURANTISM"......
#SiempreJMT
Ngoja tuoneKuna jambo linashangaza na kustusha sana.
Uhuru wa kujieleza ama kutoa maoni unaopigiwa kelele na vyombo vya habari unahusu maslahi yao yanapoguswa.
Tangu kukamatwa, kuachiwa kwa dhamana na kushtakiwa kwa msanii Optatus Fwema hakuna chombo cha habari kilichoripoti jambo hilo.
Vyombo vya habari huripoti mwenendo wa kesi zinazoendelea mahakamani lakini vimekwepa kutoa taarifa kwa umma muendelezo wa hii kesi. Nakumbuka nmna wahariri walivyodhibiti utoaji wa taarifa za ukamatwaji na kunyimwa dhamana kwa Oppter.
Wachora vibonzo wanajipanga kuhusu mahusiano yao na mwenendo wa media houses za Tanzania