Oprah atokwa na machozi ya hisia; Atunukiwa honorary education doctorate

PascalFlx

Member
Feb 11, 2009
68
5
Tumezoea kuona watu wakitokwa na machozi katika vipindi mbalimbali vya Oprah hali hiyo ilikuwa tofauti siku ya Ijumaa katika chuo kikuu cha Bloemfontein wakati akisiliza speech kuhusiana na jinsi watu walivyopambana na ubaguzi wa rangi nchini Afrika ya Kusini kabla ya kutunikiwa shahada ya udaktari wa filosofia katika elimu (honorary education doctorate) habari kamili na picha soma hapo chini

Oprah Winfrey moved to tears as she's awarded an honorary doctorate in education


A central South African university, known for fraught race relations, awarded an honorary education doctorate to Oprah Winfrey yesterday.
The 57-year-old chat show host cried as she listened to a speech about the progress of race relations in the country before accepting her award from the University of Bloemfontein.
Wearing an bright red and blue traditional graduation cap and gown, Oprah sat in the audience and listened throughout the ceremony which was arranges specifically to honour the American star.

article-2007934-0CB758D900000578-871_468x491.jpg


Moved to tears: Oprah Winfrey was awarded with an honorary doctorate in education yesterday in South Africa. She shed a tear as she listened to a speech about race relations


article-2007934-0CB7962B00000578-472_468x286.jpg


Cheers: It proved an emotional day for the chat show host


A 4,500-seat auditorium was full for Winfrey's ceremony.

Tickets were sold for 10 rand (about $1), most of that covering computer sales processing fees. Local reporters said hawkers selling fake tickets on Bloemfontein streets didn't increase the price.

In a passage that drew cheers from the audience Friday, the citation accompanying the honorary doctorate, the 152nd awarded by the university, said Oprah: 'has truly become a South African.'
Oprah herself cheered and threw her arms in the air thanking the crowd as she walked back to her seat after the presentation.

It was clearly a proud moment for the veteran TV host, who never got a degree after leaving high school at 17.

article-2007934-0CB77DA500000578-773_468x566.jpg

Elated: Oprah cheered with the crowd as she went up to collect her certificate

Oprah has long been a frequent visitor to South Africa and even opened a school in 2007 dedicated to giving bright young women of all races opportunities in a society where they are handicapped by conservative traditions as well as the poor schools that are a legacy of apartheid.
Her school's first class just graduated, overcoming early setbacks that included a scandal over a dormitory supervisor accused of trying to kiss and fondle students.

The supervisor was acquitted of sexual assault charges last year.
article-2007934-0CB74C3000000578-783_468x581.jpg


Proud: it was a happy moment for the veteran journalist who never got a degree after leaving high school







 
Dr. Oprah Winfrey
JK angeipata hii basi angeanza kujiita Dr. Dr. Jey Kei
 
watu wengi sana wameelimika kutoka katika vipindi vya mwanamama huyu, hii degree aliyotunukiwa anastahili kwa kila kipengele kwani amekuwa mwalimu wa mamilioni ya watu,. wameona na kujifunza kutoka kwake. Kingine ambacho ni cha muhimu na nadhani ni kigezo muhimu hata vyuo vingine nadhani vinatakiwa kuviangalia ni kuwa huyu mwanamama ametunikiwa hii degree baada ya kustaafu rasmi na sio wakati she was still on service
Ila watu wengine wanaotunikiwa nishani kama hizi ni za upendeleo na kujipendekeza.
 
Kwa wale waliobahatika kuona vipindi vyale na sasa TV channel yale iitwayo OWN watakubaliana na PascallFlx kwamba Elimu si lazima iwe ya darasani tu baali ile ambayo mtu anarithishwa au anaipata je ya mfumo wa kawaida wa Elimu. Tutambue kwamba Oprah pamoja na kwamba aliishia High School lakini alipoibuka alikuwa na waalimu wake wenyewe wa kitaaluma na masuala ya saikiolojia, na maisha ili kumsuka awe mwendeshaji mahiri na makini kwenye shows zake. Si Oprah tu wapo watu wengi maarufuru waliofanya mambo makubwa sana bila kuwa na elimu ya kutisha ya darasani. Mfano Bill Gates wa Marekani au Marehemu Mzee Kawawa na Abeid Karume hapa kwetu Bongo. Hawa wote wametoa ushahidi kwamba Kufeli mtihani sio Kufelii maisha kwa sababu walikuwa na VISION na MISSION . Ipo mifani Mingi tu ya wasomi waliokubuhu na bado pia hawakufanya mambo yaliocha legacy kwenye jamii, taifa au dunia.
 
Back
Top Bottom