Lizzy tatizo ni vigumu kuverrify kuwa alifanya hayo I.e alioa/lewa kwa ajili ya pesa,e.t.c ndio maana people tends to buy stories za oh nilimpenda but hakunipenda, alinitenda blabla nyingine.
Ni rahisi sana kwa baadhi ya watu kuwatumia wenzao kupata yale wanayotaka bila kujali hisia za wanaowatumia. Unakuta mtu anamwaminisha mwenzake anampenda kweli ,wengine hufikia hata hatua ya kutangaza ndoa ili kujiweka sawa kiuchumi, kielimu, kijamii, kupata makaratasi na visa kwa wale wanaotaka nafasi za kuishi nje ya nchi, kujiridhisha kimwili n.k. Wakishapata walichokua wanataka haoo wanaondoka zao.
Swali. . . .
Je ukikutuna na mtu ambae. . .
..Amewahi kuolewa kwaajili ya pesa na zilipoisha alimkimbia mwenzake.
..Amewahi kutembea na msichana akakimbia baada ya kumpa mimba.
..Amewahi kuoa/olewa/ishi mtu kwaajili ya makaratasi akamwacha solemba baada kuyapata.
..Amewahi kuvunja ndoa ya mtu mwingine ili amfaidi huyo aliyeoa/olewa mwenyewe.
na mengine kama hayo. . . UTAWEZA KUANZISHA MAHUSIANO NA HUYO MTU BILA KUA NA WASIWASI KWAMBA HATA WEWE UNAWEZA UKAWA SEHEMU YA KUPATA MAHITAJI YAKE NA SIO ANAKUPENDA KWELI?Unaweza ukaamini kwamba hisia zake ni za kweli japo kuna mwenzako aliwahi kuamini hivyo akajikuta ametumiwa na kuachwa solemba?
Kama mwenyewe amejitoa mhanga na kukiri je?Lizzy tatizo ni vigumu kuverrify kuwa alifanya hayo I.e alioa/lewa kwa ajili ya pesa,e.t.c ndio maana people tends to buy stories za oh nilimpenda but hakunipenda, alinitenda blabla nyingine.
Kupenda hakutakiwi kumfanya mtu mjinga, siku hizi kwa jinsi watu walivyo wasanii ni muhimu kichwa kikahusishwa kwenye maamuzi badala ya kutegemea moyo pekee.Lizzzy inategemea hayo mahusiano yako based on what. Kama ni love, umeshasikia sana i believe kuwa love is blind, it does not see, sasa hayo ya past ya hayo mtu utayaona kweli?
Utaamini kuwa amebadilika ambayo inaweza isiwe ni kweli kabadilika! Pengine anakuandaa in case ukijasikia toka kwa watu.Kama mwenyewe amejitoa mhanga na kukiri je?
Kupenda hakutakiwi kumfanya mtu mjinga, siku hizi kwa jinsi watu walivyo wasanii ni muhimu kichwa kikahusishwa kwenye maamuzi badala ya kutegemea moyo pekee.
siogopi watu kunitumia ili nipate nachotaka
hata kama aliwatumia wengine, napima kina kama naona nakitosha naingia mzima mzima.
Hivi unaweza ukawa na malengo ya muda mrefu na mtu ambae hujajikabidhi kwake jumla (mguu mmoja ndani mwingine nje)?Unapompenda mtu, mara nyingi unajitahidi kuvumilia mapungufu yake huku ukijitahidi kumsaidia abadilike. Tena anapokiri mwenyewe ubaya wake na pengine kuahidi kutorudia, inakupa moyo. Nadhani unaweza kumpa nafasi mtu wa namna hiyo. Ila unaingia, mguu nje mguu ndani
Sasa kama wewe ndie unaepimiwa hicho unachotaka unakipata vipi?