Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
Nitaendelea kuiita ocean road mpaka nitakufs
Yaani we acha tu! Hebu fikiria "Mwai Kibaki Road" ... "Baraka Obama Road" Haiji kwa kweli! Hivi na hospital pia itabadilishwa jina?Aisee huu ni upuuzi ulooje, I cant imagine that road to be rename, if at all its true! Pile hivi wao wakitembelea huko kwao wanapewa na miji kabisa....yaani huu ulimbukeni utaisha linie:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
hapa ndipo wazungu walikuwaga wanadhani watu weusi sio binadamu halisi japo baada ya baadhi ya weusi wengine kuanza kujitambua, siku hizi wana narrow assumption ya awali na kusema "Watanzania watakuwa binadamu tofauti na wengine"!Barabara inayotumiwa kuingilia ikulu ya nchi imebadilishwa jina na kuitwa Obama Road. Subiri mkulu akirudi marekani ataibadilisha ile ya kwake Pennsylvania Avenue kuwa Kikwete Avenue kwa shukrani zake tu.
Mi nnachojua..kama wameku-feel sana watakupa tu "keys to the city" heshima katika mji fulani au kupiga kengele kufungua soko lao la hisa pale New York Stock Exchange na sii kupachika barabara fulani jina tena la kiongozi wa Kiafrika.Kwa kweli ni kujipendekeza tu kwa sababu eti leo Madison Squire Garden paitwa Jakaya Mrisho Kikwete..I cant imagine that!Aisee huu ni upuuzi ulooje, I cant imagine that road to be rename, if at all its true! Pile hivi wao wakitembelea huko kwao wanapewa na miji kabisa....yaani huu ulimbukeni utaisha linie:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20: