Khaa! Daudi Mchambuzi unasema kweli? Basi hapo ndio pakuanzia kumjadili.
Hivi Nakaya Sumari yuko wapi vile?
Umenikumbusha uchaguzi mkuu wa Arusha 2010?
Noooooooooooo! Haiwezekani. Huyu bwana nimenunua kazi zake zote tena original shame on himAlishawahi kupewa mualiko na wa kenya huko canada, kwenye speech akasema mlima kilimanjaro upo kenya.
ana njaaa sanaaa anajifanya culture sana kmbe mnafki..huwa namuona kwenye pub za maeneo ya njiro anakunywa konyagi.
anajifanya mzalendo feki kumbe chenga....
ni kweli na alipoulizwa akajitetea kuwa speech yake aliandikiwa na hao wakenya so hakua na namna nyingine zaidi ya kusema Mlima Kiilimanjaro upo Kenya kama alivyoandikiwa kwenye speech na hao wakenya.
Hahahahaha mkuu hapo ndo umemmaliza! Hatari
Kama vile Sugu,mr nice,profesa j,tid na saida karoli
Kwelii kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.
YAani huyu jamaa alivyokuwa anatoka nilimheshimu na nilikuwa namkubali saanaa.
Heshima yangu ilianza kupotea kwake baada kuanza kutumika na serikali ili kumpunguza makali.
SAsa amejidharaulisha wazi kwa jamii kwa kujionyesha mchumia tumbo, mwanzo alikuwa kwa sitta, baadae kuona sitta katiba mpya imemkaanga akahamia kwa membe, sasa ameona upepo wote umehamia kwa lowassa ameamua kuhamia huko huko.
Niliona video ya maneno yale yale aliyoyaongea kwa sitta ndio hayo hayo kayarudia kwa mhe lowassa, jiandae for your downfallcoz wananchi washakudharau na huaminiki tena.
SUGU!!!!!!!! yupi ???!!!
Prof: Jay?
Inasikitisha sanaTz wasanii ubongo mdogo sana, am very sory too for this plain truth.
Halafu ana vinasaba vya ki Nabii Tito usikute kuna kiongozi anamnyoosha huyu mbwigaKwelii kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.