China, Marekani, Ulaya. Ndio maana airtags zinafanya poa sana marekani na ulaya kwasababu watumiaji wa iphone ni wengi hivyo kwakuwa zinategemea network ya wamilik wa iphone basi zinafanya kazi kwa urahisi

Ni simu tamu sana mkuu, iOS naipenda haina mambo mengi kama wewe ni mtumiaji na ni mtu wa kupenda tumia default apps, iOS safi sana.
Mimi ni mtu wa kupenda tumia default apps hata kwasasa napotumia android huwezi kukuta nimeweka launcher kwenye simu, au keyboard tofauti, au sms app tofaut yani mimi mtu wa kutumia apps za msingi tu
simu za android kama ijafika kiwango Cha 1m ujue ikichukuliwe basi watu wanaweza fanya Bypass watakavyo ndugu iyo Oppo inaondolewa tu bila shida yoyote bro