Salih
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 619
- 401
Msaada kwa wenye utaalamu wa kufanye setting za simu, nina simu OPPO R11s nimeichukua kama wiki1 hivi iliyopita ila baada ya kutumia upande wa Camera nikagundua kuwa haina uwezo wa kuondoa Shutter sound(mlio wa camera wakati wa kupiga picha), yaani sioni kipengere chochote cha turn on or off camera sound, kama kuna mwenye utaalamu wa simu hii anielekeze cha kufanya. Natanguliza shukrani