Oppo ana copy sana kwa iPhone

Oppo ana copy sana kwa iPhone

Cc. Hios tecno
emoji849.png
emoji849.png
emoji849.png
emoji849.png
🤣🤣🤣🤣
 
daima huwa nalilia UI za androidi kukaa kipopoma.

samsung amejitahidi kufanya yake iwe tofauti na wengine,ila hawa oppo wamefanya kitu cha maana sana,inavutia mno.

naweza weka hivi.

1-oppo
2-samsung
3-huawei.

hawa android wengine hawako serious na kazi zao.
 
Soko la smartphones liko hivyo kuanzia hardware mpaka software.
 
Back
Top Bottom