Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,828
- 1,662
Wataalamu habari za muda huu?
Je kuna VPN ambayo naweza ku connect kwenye puplic.wifi kisha nikaunga outlook mail app nikapokea emails kama kawaida.
ahsante