Pamoja na NATO na jeshi la Iraq kutumia nguvu nyingi kukomboa mji wa Monsul mbona bado huko mikononi mwa ISIS, sasa kwa nini wanakimbilia huko Raqqa, je, NATO wanafikiri huko watafanya miujiza gani?
Kumbuka mji wa Raqqa huko Syria, ninacho kiona mimi hizo ni mbinu za Merikani za kutaka kutumia mji huo kama spring board za kuwezesha waasi wanao mpinga Asaad washambulie majeshi ya Syria, kumbuka hazma ya Merikani ya kutaka kumuondoa madarakani Asaad bado hipo pale pale haya mambo ya kusema sijui wanataka kutokomeza kikundi cha ISIS hizo ni geresha tu.
Leo nimeona wanajeshi wa Merikani na magari yao ya kijeshi yanakaribia mji wa Raqqa wamevaa
Nguo za wanajeshi wa Kikurd, kumbuka vile vile wanataka kuvamia nchi huru bila ya idhini ya UN au kukaribishwa na Serikali ya Syria - sasa nini kinaweza kutokea, Urusi inaweza kuchukua a low profile sio kwamba hawajui lengo la Merikani si wamesema wanataka kuangamiza kikundi cha ISIS? Sasa Merikani ikivuka a red line ikashambulia wanajeshi wa Syria au one of the bases za Warusi nchini Syria basi hapo Wamerikani na Warusi wakabiriana moja kwa moja na inaweza kuwa vita mbaya sana - I hope Wamerikani hilo wamelitafakari kiundani - Warusi awawezi kuruhusu Wamerikani watumie nchi ya Syria kufundisha waasi kutoka Ulaya mashariki kwa lengo la kufanya ugaidi alafu wawapenyeze nchi Urusi kufabya ugaidi na uaasi - Warusi watatumia nguvu zao zote kulinda Taifa lao, awatapigana kwa ajili ya maslahi watapigana kwa ajili ya usalama wa Taifa lao safari hii wanaonekana wako determined kweli kweli.
Kinacho shangaza kidogo, Wakurd wa Iraq, Syria na Uturuki wanasaidiwa na Wamerikani wakiwemo waasi wa Syria Uturuki iataki Wakurd wasaidiwe na nchi yoyote Uturuki ina wasi wasi kwamba Wakurd wakiungana watataka waunde nchi yao na Merikani tangu miaja mingi ilikuwa na mpango wa kuhunda nchi nyingine mashariki ya kati kwa kumega sehemu za Iraq, Syria na Uturuki na ukiangalia kwenye ramani utakuta sehemu za aridhi kwenye plan za Wamerijani zina utajili wa mafuta na gesi ndiyo maana wanataka ku-annex sehemu hizo na kuwapa Wakurd amboa watakuwa watiifu kwa USA - hii si adithi ni kweli tupu - sasa swali ni: hivi Uturuki, Iran ambayo nayo ina Wakurd, Syria na Urusi wanaweza kukubali upuuzi huu? Je, Merikani hiko radhi kuanzisha WW3 kwa ajili ya Syria na Wakurd?
Hali inavyo elekea sio nzuri hata kidogo nashariki ya kati hasa Syria - ikitokea miscalculation Dunia na viumbe vyote vitangamia/tutangamia.