secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,558
- 49,933
Wana JF wanakwenda na comments tano za mwanzo. Wale wa kwanza wakishakomenti kistaarabu basi umepona.Km hujaambiwa unatafuta basha mpk sasa uko sawa kinyota kuna mwenzio alimuanzishia Uzi hivi aliyoambiwa anatuby
Cc secretarybird ndege mdinya
Nii ngori chali ya Ben tekeWana JF wanakwenda na comments tano za mwanzo. Wale wa kwanza wakishakomenti kistaarabu basi umepona.
Mazee niaje huko Migori, Kenya?Nii ngori chali ya Ben teke
Umepajuaje migori chali wangu.... Kai surgely unakusoma kenya kitamboMazee niaje huko Migori, Kenya?
Nilikuwa navisit Migori nikiwa shule ya msingi mazee, kipindi cha likizo nikawa nasikilizanga tu Redio KBC sauti ni ya mukenya.Umepajuaje migori chali wangu.... Kai surgely unakusoma kenya kitambo
Umenikumbusha mbali na ndo saa saba mchana KBC muda wa taarifa ya habariNilikuwa navisit Migori nikiwa shule ya msingi mazee, kipindi cha likizo nikawa nasikilizanga tu Redio KBC sauti ni ya mukenya.
Nastolgia 😎Umenikumbusha mbali na ndo saa saba mchana KBC muda wa taarifa ya habari
Hahahaha sio kweli mchumba wangu😃Unajua kila mara naufananisha huu mwandiko, kumbe hili ni parody lako min 😹
Sidhani unanikosea mno lamo😃Min tulia, umeshajulikana..!! 😹😹
Sidhani 😃Nilisha mkataza pombe, ona sasa ashajulikana...😂
Hahaha waone😃Mtu asipumzike siku mbili jamani🙄
Bwashe hawa ni wanangu mno , wakiniulizia hakuna tatizoMwanaume unamtafuta mwanaume mwenzio wa mtandaoni kwa malengo gani?
Pumbavu😃Nenda ukammsake kwenye pori la mafisi kabla hawajamtoa maini🏃
Watajua wenyewe!!
tusiwe na hofu na migongo yao ?Bwashe hawa ni wanangu mno , wakiniulizia hakuna tatizo