Operesheni wahamiaji haramu kazi imeanza, vilio vyatanda, wachina wagoma

Njoon mail moja mujionee wahindi wapo kaa 200 hv wanalala hotel inaitwa apaikunda ni wengi wanakula wake za watu balaa pia kuna wavetnam wachuba na wachina hv huu mji wa kibaha hauna viongoz
 
Tena Manji anaweza kuwa Mtanzania wa kweli kuliko wewe.

Hakika usemayo.. hotuba za mwalimu wakati wa Uhuru nimewaona wahindi wakiwepo this means Uhuru uliwakuta wahindi nchini,, sikatai kuna wahamiaji haramu na tuache ukaburu kuwabagua watu kwa rangi zao wengi ni wahutu lakini wanachongoa midomo as if wana miaka hata 20 tanzania...... kuna wahindi hapa hata Kenya hawajawahi fika lakini tunawaona wageni
 
Uzembe,uzembe,uzembe.Tatizo hili lisingekuwepo isingekuwa uzembe wa serikali ya awamu ya pili,ya tatu na ya nne.Nakumbuka tulikuwa na a very strong ten cell unit system wakati wa serikali ya awamu ya kwanza.Sijui mdudu gani aliingia na slowly system ile ikafa.Under that system kila mgeni aliyeingia aliripotiwa kwa mjumbe wa nyumba kumi na hatimaye Mwenyekiti wa Kijiji.Hatua hii ilisaidia sana kudhibiti wahamiaji haramu na ujambazi.Kama system hii isiporudishwa,effort hii ya sasa haitasaidia lolote.

Sasa hivi mgeni anaingia na na hiyo 'ten cell unit' a.k.a majirani, ndio ina-support uwepo wake hata kama ana terrorize watanzania wenzao...
 
Kivipi ndugu ikiwa hata Kiswahili hajui
Nani kakudanganya kuwa ili uwe mtz lazma ujue kiswahili fasaha! Ni waafrika wangapi wanaongea kiswahili kibovu kuliko hata Manji!? Wamasai wangapi wana ongea Kiswahili kibovu!? Ni wasukuma wangapi hawajui hata kuongea Kiswahili tu!?
BTW wewe Mtihani wa Kiswahili ulipata ngapi!?
 
Operesheni ondoa wageni haramu ifike Arusha kwenye hoteli za kitalii na shule za english medium; kuna watu wameajiriwa kinyume cha sheria.

Pia wasisahau mikoa mingine mfano Manyara kuna wazungu wanafanya kazi bila vibali.
 
Watu Haramu ndiyo watu gani hao .......... acheni serikali ifanye kazi zake kwa kufata sheria za nchi.

Kama unataka kuwa na multinational companies nchini basi lazima uruhusu wageni. Otherwise keep local!!


Vizuri kama unajua sheria basi pia utajua wanao ondoshwa wanaondoshwa kwa mujibu wa sheria so hapo ndo sheria inazingatiwa.
Wenye vibari halali vya kufanya kazi hili swala la kutimuliwa haliwahusu kabisa.

Unapo ongelea maltinational companies sijui kama hili swala unalijua kwa kina unless unaleta mihemko tuu.

Hakuna atakaye wagusa wenye vinali halali vya kufanya kazi nnchini wasio na vibali wafukuzwe if posible wasiruhusiwe kurudi tena Tanzania
 
hiyo operation iende na kwa watu weusi waliopo nchini...kuna wakenya wengi sana kwenye makampuni ya hapa nchini, unakuta eti mkenya ni mhariri wa Radio ya Kiswahili?

kuna kampuni kubwa ya Media imeajiri wakenya wengi sana, unakuta eti mkenya ni msomaji wa habari za kiswahili kwenye radio hiyo.

Kwa ufupi huyo mwenye kampuni kaajiri RAIA wa kigeni zaidi ya 30.

mmoja eti ni mhasibu.., IT, Waandishi wa habari, Moja anafanya Clearing and forwarding ni wakala na ni mkenya, yaan ni wengi sana, kuna jamaa anafanya kwenye hiyo kampuni anasema yaan ni shida sana...
Malalamiko yako yatume kwenye email ya uhamiaji metolewa au piga cm
 
Shida si Manji..shida ni kwanini makampuni yake kajaza wahindi wageni??ina maana hana imani na " watanzania wenzake"??
kama hao wahindi wana vibali na wamefata sheria zetu tatizo liko wapi? manji mfanyabiashara anaangalia interest zake kama unaona kakosea fungua na wewe company yako ajiri wa tanzania.
 
Kaka hujui dharau na ubaguzi wa wahindi,.
Mi nafikiri waanze na wahindi kwanza,

Waje vingunguti pale kuna kampuni inaitwa Phillips pharmaceuticals ltd,
Waone madudu..
Kuna wafamasia wahindi hawajui hata paracetamol inafanyaje kazi..
Mkuu hizi information inabidi kuwajulisha uhamiaji ili wajue madudu gani yanaendelea ktk maeneo husika naamini wataifanyia kazi.
 
Na kwenye maeneo ya mipaka kuimarishwe maana kwa upande wetu kuna matatizo.
Hatuna ukaguzi wa kutosha maana siku moja nilikuwa natoka Nairobi tukiwa upande wa Kenya basi lilikuwa linakaguliwa kila mtu na kitambulisho chake.
Lakini tupovuka huku kwetu kwenye kituo cha ukaguzi asikari wa uhamiaji alipanda katika basi akatuangalia kisha akashuka.
Huwezi ukamtofautisha mtanzania na mkenya kwa kumtazama
 
Mkuu hizi information inabidi kuwajulisha uhamiaji ili wajue madudu gani yanaendelea ktk maeneo husika naamini wataifanyia kazi.
Kaka nimefanya hivyo Mara nyingi, jamaa wananipotezea, nimefika mpaka wizarani coz nimeshakuwa mwajiriwa wa hawa wahindi, I know many things,

Mtu ukisimama bila aibu kuwatetea hawa jamaa unafaa kupimwa akili.

But thanks now, it begins...
 
Tusije kutuma taarifa zikaangukia mikononi mwa jamaa linalotoa vibali tuwekeeni no ya mzalendo ili tuwe na uhakika tarifa zinafika mahali salama.
 
Jenerali Ambamba sisi sote kwa ujumla wetu tunawajiba kwa hili; kushrikiana ns vyombo husika. Sasa kwakuwa wewe inaonekana unafahamu hiyo kampuni na hao wasiotakiwa unawafahamu, basi waripoti kwa mamlaka husika; mfano: TISS, Polisi, pia umpe mbunge wako hiyo orodha ili sheria ichukue mkondo wake kabla hao jamaa hawajafanya kaujanja.
 
Back
Top Bottom