Operesheni wahamiaji haramu kazi imeanza, vilio vyatanda, wachina wagoma

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
943821_1020094041388387_2354428240377447975_n.jpg
 
hiyo operation iende na kwa watu weusi waliopo nchini...kuna wakenya wengi sana kwenye makampuni ya hapa nchini, unakuta eti mkenya ni mhariri wa Radio ya Kiswahili?

kuna kampuni kubwa ya Media imeajiri wakenya wengi sana, unakuta eti mkenya ni msomaji wa habari za kiswahili kwenye radio hiyo.

Kwa ufupi huyo mwenye kampuni kaajiri RAIA wa kigeni zaidi ya 30.

mmoja eti ni mhasibu.., IT, Waandishi wa habari, Moja anafanya Clearing and forwarding ni wakala na ni mkenya, yaan ni wengi sana, kuna jamaa anafanya kwenye hiyo kampuni anasema yaan ni shida sana...
 
Mkuu bado hujatoa msaada kwanini usiwataje? Nchi hii ina Radio nyingi sasa kuweka mafumbo haileti maana wee Funguka tu
 
Ila pia wasiangalie rangi tu. Tuna wakenya na wengine wengi ambao wamo humu kinyume cha sheria
 
Yatajwe na kuathibiwa makampuni walioajira watu wasio na vibali kwani wamekiuka sheria ya nchi.
 
hiyo operation iende na kwa watu weusi waliopo nchini...kuna wakenya wengi sana kwenye makampuni ya hapa nchini, unakuta eti mkenya ni mhariri wa Radio ya Kiswahili?

kuna kampuni kubwa ya Media imeajiri wakenya wengi sana, unakuta eti mkenya ni msomaji wa habari za kiswahili kwenye radio hiyo.

Kwa ufupi huyo mwenye kampuni kaajiri RAIA wa kigeni zaidi ya 30.

mmoja eti ni mhasibu.., IT, Waandishi wa habari, Moja anafanya Clearing and forwarding ni wakala na ni mkenya, yaan ni wengi sana, kuna jamaa anafanya kwenye hiyo kampuni anasema yaan ni shida sana...
Mbona hujataja hiyo kampuni?? Jipu litatumbuliwa vipi kama hujataja hiyo kampuni!!
 
hiyo operation iende na kwa watu weusi waliopo nchini...kuna wakenya wengi sana kwenye makampuni ya hapa nchini, unakuta eti mkenya ni mhariri wa Radio ya Kiswahili?

kuna kampuni kubwa ya Media imeajiri wakenya wengi sana, unakuta eti mkenya ni msomaji wa habari za kiswahili kwenye radio hiyo.

Kwa ufupi huyo mwenye kampuni kaajiri RAIA wa kigeni zaidi ya 30.

mmoja eti ni mhasibu.., IT, Waandishi wa habari, Moja anafanya Clearing and forwarding ni wakala na ni mkenya, yaan ni wengi sana, kuna jamaa anafanya kwenye hiyo kampuni anasema yaan ni shida sana...
Zitaje hizo Media vile vile na hizo Kampuni unaogopa nini? Huu ndiyo sahihi wa kutumbua majipu yasiyopasulika.
 
Back
Top Bottom