lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,608
- 2,064
hivi hawa makamanda wanafanya kazi hiyo kwa malipo au kujitolea . kama wanajitolea big up saana kama wanalipwa basi watakuwa na mihela kibao maaana si wametoka mjengoni, ushauri ktk kampeni hiyo ya vua gamba vaa gwanda iwe na ufundishaji wa mbinu mbalimbali za ujasiliamali kulingana na eneo husika mfano ccm wao magamba na kilimo kwanza , cdm wana magwanda na ???????