Operesheni sangara party 2 kuanza wiki ijayo.

Operesheni sangara party 2 kuanza wiki ijayo.

hawataacha mtaa, kijiji, kitongoji, kata, jimbo, wilaya na hata mkoa ni muda tu.

Kama wataweza nguvu ya kutosha ipigwe Dodoma na Moro ni aibu kwa chama kama CDM kukosa muwakilishi kwa mikoa hiyo miwili mikubwa na hasa ukizingatia sasa imekuwa mikoa yenye taasisi za elimu ya juu nyingi.Singida nguvu zote zipelekwe kwa yule bwana mdogo Nchema anatakiwa aone jua likitokea Magharibi na Si mashariki tena.Chadema sasa wanatakiwa kuwa very strategic kwa kuhakikisha wanachagua mapema majimbo ya kuchukua, Dar es salaama yote ichukuliwe bila huruma,Pwani tupate Kibaha, chalinze na Bagamoyo,Morogo mjini, Kilombero na Mvomero na Kilosa.Dodoma yote,Tanga tupate Tanga mjini Korongwe na Lushoto.Ntaendelea kuwa maeneo ya kuupatia urais kwa urahisi zaidi.
 
Back
Top Bottom