Acha fikra za kujikwamisha.Bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi hakuna la maana.
Wanaume mnaojisogeza kwa Samia mmesikia keo?? Wanasesere nyie in Polepoles voiceHaiwezi kuanza sasa kwani ligaidi bado linasota mahabusu. Makamanda uchwara wamesambaratika kwa fedheha.
Hata usemeje haikusaidii hata kidogo.Wanaume mnaojisogeza kwa Samia mmesikia keo?? Wanasesere nyie in Polepoles voice
Kweli tusijidanganye, ili kumtoa shetani ni lazima akemewe. “Makutano walishangaa mno kwa mafundisho yake; kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye amri, wala si kama waandishi wao.”—MATHAYO 7:28, 29.Shetani hafukuzwi kwa mapambio....
Achana na fikra za jeshi.Mkuu labda jeshi litake vinginevyo kwa Tz regime change bado sana. Watz walio wengi hawataki kubeba gharama ya mabadiliko kwa hiyo sahau mabadiliko ya kiuongozi kutokea.
ukitazama vyuo vikuu watu wanahitimu kila mwaka wengi tuVijana wengi wa kitanzania akili zetu zimeganda
Ili ccm itoke madarakani tunatakiwa sisi vijana tujitambue kwanza
Tuache kuwa wabeba mabegi ya vigogo wachache wa upinzani
Ushauri
Vijana wote wa upinzani kutoka vyama vyote vya siasa tukutane
Tupindue meza angani tuunganishe nguvu kama vijana tumtafute na sisi malema wetu au bobi wine wetu tumssuport
Tuweke slogan yetu 2025 ni ya kibabe zaid vijana tupindue meza kibabe
Tuachane na hivi vyama vya mifukoni
Twende na chama letu vijana tutalipa jina huko mbele kwa mbele
Tukifanikiwa kuunganisha vijana nchi nzima na kuweka wagombea wetu vijana nchi nzima matembele awatoboi nakwambia kinyume na hapo ccm watakuwepo sana tu..