Operesheni Kimbunga yazoa mawaziri

Operesheni Kimbunga yazoa mawaziri

Ndugu zangu Wafugaji na wakulima mara zote mmetumika sana kuibeba ccm matokeo yake ndiyo haya , MMEVUNA MLICHOPANDA ! Tunakuja rasmi 2015 kuwakomboa , msifanye makosa tena !
 
Mkuu Yegella, hata kama ni kweli, au si kweli, comment hii ni kinyume cha utu wa mtu, huu ni unyanyapaa ambao ni kosa against morality!. VVU ni janga la kitaifa, kuna wengi ama tunaishi na vvu ama wanaishi na vvu, kitendo cha kuandika tumdharau fulani kwa sababu ni muathirika wa vvu, ni kuwadhalilisha waathirika wote wa vvu!, tena usikute unaandika haya huku hujapima!.

Pamoja na utani na mizaha yote tunayotoleana humu jukwaani, tusivuke mipaka ya utu na ubinaadamu!.
This comment is not fair!.
Pasco.

Kwahiyo yeye anapoongelea mambo binafsi ya watu huwa unaona fair!?eg;Dr,Slaa &Mh,Lema.Muosha huoshwa.
 
Unataka kusema Lukosi alijilipua kama Mkongo, Msudan, au Mnyarwnda? Kuna haja ya kufuatilia taarifa zake hapa London ili Home affairs waweze kujua kuwa jamaa huyu ni mtanzania na si mkimbizi aliyetoka katika nchi ya vita ili asiendelee kupewa status ya ukimbizi wa uongo na kula pesa za walipa kodi wa Kiingreza.
Kujilipua kwa Chris Lukosi kunakugusa vipi negatively katika maisha yako. Kama ni siasa, pambana naye kwa hoja na siyo kumuua kimaisha. Hivi unafahamu ni Watanzania wangapi wametumia fake documents zilizokuwa zinapatikana mitaa ya Mkwepu, Makunganya, posta club n.k kusafiria ili kutafuta maisha yao au kwenda kupata elimu ya juu nje ya nchi.
Huu ni wivu zaidi ya mchawi!.

Umenigusa kwa comment yako kwa sababu hata mimi na baadhi ya jamaa zangu tulipata Bank statement fake kwenye mitaa ya Mkwepu miaka ya 1990's ambazo zilikuwa ni fake lakini zilitusaidia kupata registration kwenye University za nchi za Magharibi tukapiga kitabu na sasa tuko tambarale.

Ninaamini mambo ya Chris kwa sasa yako vizuri kwa maana kwamba anachangia mapato katika nchi ya queen kutokana na biashara zake na pia ana familia kitu ambacho ni ngao kubwa inayomkinga mbele ya sheria za mwingereza inapokuja kwenye maamuzi ya mahakama.

Kuna Watanzania kwa makumi na mamia ninawafahamu ambao history zao kufika abroad kutafuta maisha ukisimuliwa zinaweza kuufanya utumbo kucheza lakini kwa sasa wako vizuri tu kimaisha.

Kama siasa za Tanzania zimefikia kiwango hiki cha selfishness, anger and hatred basi hazina hata faida kwa Mtanzania.
 
wasifu wa lukosi 1.huyu jamaa alikuwa polisi akafukuzwa sababu ya ajali katika msafara wa pm wakati ule john malecela na kukimbilia botwana kwa dada yake ambaye ni nurse.2 2.lukosi alifuatana na dadake nchini uk baada ya kupata kazi uk nayeye alipata nafasi ya kuambatana naye uk. 3.lukosi alipata nafasi ya kujifanya mkimbizi na kuukana utanzania pamoja na porojo zake yeye uk anafahamika kama mkimbizi wa kisiasa na njaa. 4. Lukosi alipata kazi ya kuwa traffic warden kwa bahati mbaya alipata ajali ambayo ilimfanya adhurike kichwani alilazwa kwa muda mrefu na aliathirika na ajali ile kichwani.kampuni aliyokuwa akiifanyia kazi ilimlipa malipo kutokana na ajali hiyo,na baada ya muda aliacha kazi na kuanza biashara. 5 lukosi alianza biashara za kupeleka magari mabovu tanzania na baiskeri za wizi kutokea maeneo ya barking&dagenham na baada ya muda alianza biashara nyingine ambazo wengi wanazijua. 6 lukosi alijaribu kujiingiza kwenye siasa baada ya kukutana na mbunge lema jijini london,na nia kubwa akifikiri atapata tender za kusafirisha mizigo na magari ya chadema.alipewa nafasi kukaa hotelini kwa mzee ndesambulo jijini dar kwa week moja free of charge. 7 baada ya kukosa tender hiyo lukosi alirudi ccm ambapo hajawahi kuwa mwanachama uk,na alianza kashfa nyingi kuhusu chadema na hii ni kutokana na waajiri wake wa biashara (sizisemi) kutoka tanzania ambao ni wafadhiliwa na ccm kutokana biashara hizo.ametumia muda mwingi mtandaoni ili wamkubali kuwa katoka chadema na anaichafua. 8. Tumdharau lukosi kwa sababu ana ugonjwa wa pressure na inasemekana ni muathirika wa vvu si mwana siasa ila ni stress zinamsumbua..


hapo kutakuwa kunaukweli kabisa,,,,,maana kila anacho comment ni pumba pumba pumba tuuuuuuuuu
 
lukoso akili zako zomehadhiliwa na kubeba maboksi huko UK watu wana jadili hoja ya maana wewe unaleta mzaa,ndio mi CCM mingi mlivyo,wewe mpaka shibuda naye kacharuka na kusema kuwa Pinda akae pembeni?tuwe makini kwenye hoja zinazokusa maisha ya ndugu zetu wa vijijini
 
Naona 2015 inasogea kwa kasi ya ajabu, hatudanganyiki na kubweka kwenu kwa muda mfupi.

endeleeni kushabikia serikali yenu ya ccm sikivu.!

Mkuu licha kwamba uendeshaji wa operation hiyo ulikuwa wa kipumbavu na wakijima sana ambao haukuzingatia weledi bali miguvu na mitulinga wabunge wengi wa CCM hawajapenda kusimamishwa kwa operation hii kwasababu ya huruma yao kwa wananchi hapana...wametishika walipoona majangili wengi wanao kamatwa ni wapambe wao. Nidhahiri kwamba hao wanao kamatwa wangekuwa wafuasi wa vyama vya upinzani hasa CHADEMA au CUF ...wangetambua kwanini maharage siyo mboga bali kitafunwa cha kunywea chai.

Hebu jiulize busara hii inatoka wapi kama ni hali mbaya watuambie kinachoendelea MTWARA...nako waunde kamati teule kwani nako watu wamepigwa sana ,wameuawa sana tu na hakuna kinachofanyika.
 
Ukweli ni kuwa hizi operesheni zimegusa maslahi ya wakubwa; namely Katibu mkuu Kinana, Lukuvi, nk.
Tulisikia taarifa wabunge hapo kusini wanahusika na ujangili. Then tunajua Kinana ndiye kinara wa ujangili Tz, alafu tukasikia msaidizi wa Lukuvi kahusika. Tungetarajia nini katika hili.
Najua hili la operesheni kimbunga limeingizwa tu kutupoteza maboya but ukweli ni kwamba kinacholengwa hapa ni kuondoa hii operesheni ya kupinga ujangili.
Makinda amekubali hili suala lijadiliwe na kamati iundwe kwa sababu mbunge mwenzake wa Iringa, Lukuvi ameguswa. Najua hata kamati itakayoundwa itakuwa imeshaandaliwa tayari na taarifa yao wataandikiwa...

mkuu Tuko I couldnt agree more with this hypothesis. Haiingii akilini, pamoja na madhara yote ya ujangili, historia yake nk, leo hii gafla wabunge wanatwist maneno kwamba imewaaathiri wafugaji, na hakuna jangili aliyekamatwa! this is ridiculous....hadi kuunda kamati teule??
 
Last edited by a moderator:
ila jamani km umemsikia mbunge (ccm)
kangi lugola akiongea basi sidhani km unaweza kuishabikia ccm.
inauma sn jamani.


eti askari wamepiga risasi na kuuwa ng'ombe 60za mzee m1 wa miaka zaidi ya 60.
hiv huyu mtu amekua maskini ghafla ataisjije?!!
cku zinakuja .....

Ndugu yangu unashangaa kuuwa ng`ombe wakati ukitwanga Risasi au mabomu raia unapandishwa cheo...Nadhani wanatekeleza amri halali za Mkuu wa serikali kuhusu wakaidi kwani yawezekana huyo ni mfugaji kaidi aliye kaidi kuuza mifugo yake au kuwapa kitu kidogo wahusika na hawakuwa na njia nyingine zaidi ya kupiga ....ndiyo tuatapigwa sana tu.
 
Nami nasema wazolewe tu, hakuna namna, maana sasa tumechoka!
 
Ndio matatizo ya Serikali hii kukurupuka na kufanya maamuzi ambayo yanakuwa na negative impact kwa raia na mali zao. Sijui kama hao walioathirika hata kama watalipwa fidia.

kosa kubwa ni kuingiza majeshi mengine katika mambo ambayo hawakusomea.
Polisi pamoja na udhaifu wao lakini angalau wana uelewa kiasi wa sheria lakini jwtz wapi na wapi.
Hili ndilo kosa ambalo hata mtwara limefanyika na madhara yake karibuni yatakuwa wazi.
 
Serikali dhaifu bunge legelege, caucus ya CCM wapumbavu ndio maana nchi inafirisiwa mbele ya macho yao wamebaki ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Mkuu kaizer , hii ndo tz ukigusa masilahi ya wakubwa ujue hufiki mbali. Si uliona amri ya magufuli kuhusu malori walivyomfanya.
Mimi nimeshangaa sana mkuu manning. Yaani nimewangalia jana wakati wanajadili..hakuna hata .mbue mmoja aliyejaribu kuonyesha ubaya wa ujangili na hali ilivyokuwa mbaya sasa hivi....wala kuonyesha kwamba ni kwa nini hii operation ni muhimu.

Mi nadhani kwenye.operation kama hii haiwezi kukosa majeruhia kuisitisha pamoja na kiwalaumu watekelezaji kwa maaana ya JWTZ Polisi na askari wa wanyamapori ni kuwaondolea morale kabisa

Wabunge.wameshindwa kuona ni kwa nini ujangili uliokithiri utaathiri sana utalii.ambao unachangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa.

Suala la ujangili limeshakuwa systemic...wamekamatwa watu hapa lakini unasikia wanaachiwa au watu wanalobby waachiwe..huo.ni.udhaifu wa utekelezaji wa sheria na ingepaswa wahusika wote waadhibiwe vikali....

Suala la mifugo kuingi hifadhini ni kinyume cha sheria ya wanyamapori ..so ikikamatwa ndani inabidi mwenye nayo alipe faini nk...kuwaachia namna hii inaset precedent kwamba unaweza tu ukaswaga mifugo yako hifadhini kisha ikaachiwa kiroho safey. Kila siku watu wanahubiriwa wapunguze idadi ya mifugo lakini wapi....matokeo yake ndo kama hivi.

Kikubwa ninachoona hapa ni uchaguzi unakaribia na kura za wafugaji.ni muhimu sana...
 
Last edited by a moderator:
Unajua bwana pasco wakati mwingine huyu lukosi anakera sana anataka kuhamisha mwelekeo wa kinachojadiliwa kwa kuleta utani kwenye suala nyeti, kilichofanywa na yegella ni kataka kulionyesha jukwaa mtu anayetaka kupindisha mjadala ni mtu wa aina gani. Kwa hiyo huyu lukosi sio kila hoja uchangie wakati mwingine ni vema kuwa msomaji kama huna cha kuchangia badala ya kuchangia ujjnga na kuamshi hasira kwa wengine
Mkuu hapa umenena kinachokera huyu jamaa mara nyingi amekuwa mharibifu wa mtiriko wa mada Jf hebu angalia hiyo comment yake ktk uzi huu ,Je utamuelewaje?Acha alipate fresh uyo jamaa acha amtwange na CV lake hilo bovu.Hata mimi ningekuwa naujua huu wasifu wake ningetupiamo.He deserve what he reserve.
 
pinda anatakiwa kupinduliwa tanzania haijawahi kuwa na waziri -------- kama pinda
 
Back
Top Bottom