Operesheni KIMBUNGA yaanza rasmi

Operesheni KIMBUNGA yaanza rasmi

Hawa sio watu wazuri hata kidogo. Operation ipigiwe zaidi ya hii ya mwama 2013
 
Hiyo OP ilipigwa na Kikwete baada ya Kagame kubinua mdomo wake na kumtishia JK kwamba atamvizia na kumshughulikia, hivyo kwa hasira JK akatimua Watutsi wote! Bila kujali wameishi nchini kwa miaka zaidi ya 50 na kuendelea
 
Inafaa irudiwe tena ianzie ikulu ishuke hadi serikali ya mtaa.
 
Back
Top Bottom