Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,418
- 283,643
Chadema iko nchi nzima, nadhani umeona ofisi yao ya Pemba.Chadema inafahamika Pemba?
Vipi kongwa chadema inafahamika
Wameweka mgombea ubunge?Chadema iko nchi nzima , nadhani umeona ofisi yao ya Pemba
Kwa uchaguzi wa lini?Wameweka mgombea ubunge?
Muulize MaalimHuyo mnamwita mwamba wapemba wanamjua?
Maalimu yupi, hayati?Muulize Maalim
Tena wanatumia usafiri wa Ndege za kukodiHivi chadema wanawezaje? Mbona vyama vingine wanashindwa?
Mikutano ya ndani si kitu , tunataka mikutano ya hadharaStill watakuja kulia mama ni Magufuli wa kike .huku wanazurura nchi nzima bila kuguswa
The lowest point ever made by you.Still watakuja kulia mama ni Magufuli wa kike .huku wanazurura nchi nzima bila kuguswa
Akili kubwa nyuma kuna watanzania mamilioni wakiunga mkono juhudi za kupigania haki.Hivi chadema wanawezaje? Mbona vyama vingine wanashindwa?
Chadema wanataka kuwafanya Wapemba chambo, kwanini wasianzie Uchagani huko. Wanaona Wapemba ndio steering wa fujo ili wawe chambo.Kwa mujibu wa Taarifa za dunia, ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020, Pemba ndio eneo lililoongoza kwa mauaji ya raia, wakiwemo watoto na vikongwe.
Wote waliounga mkono Maalim Seif na upinzani walishughulikiwa ipasavyo, zipo tetesi kwamba kulikuwa na majeshi ya kukodi kutoka nchi za kigeni ili kuisaidia CCM kushinda kwa mabavu.
Sasa leo tumeipeleka OPERESHENI HAKI Pemba kwa lengo la kuhamasisha uwepo wa Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi ili kuleta haki nyakati zote ikiwemo na wakati wa Uchaguzi, Tunaamini baada ya Katiba Mpya na Tume Huru hakutakuwa na mauaji tena, wala hakutakuwa na Askari wa kukodi.
Picha : Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe akiwasili kisiwani Pemba kuongoza Operesheni Haki
View attachment 1842481