SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,968
- 75,042
UKAWA + ESCROW= Kaburi la CCM
Angalia vizuri kwenye huo mlingoti.Bendera ya CHADEMA iko juu ya CUF iko chini WHY NOT VICE VERSA?
Hiyo bendera wanatembea nayo kuzuga kuwa mikutano yao imeitishwa na UKAWA halafu waanza kujinadi kama CHADEMA kilichopewa eneo hilo na UKAWA.
Kwa ccm huuni mwaka wa shetani!
Ni RUDEWA Kilosa na si LUDEWA,sahihisha tafadhali![]()
![]()
![]()
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbroad Slaa akihutubia maelfu ya wananchi wa Kijiji cha Ludewa, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro katika mkutano wa Operesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Ludewa.
leo kijij cha berege wilaya ya mpwapwa ka delete kabisa ccm, wagogo hatuwaangushi tena wapambanaji
Angalia vizuri kwenye huo mlingoti.Bendera ya CHADEMA iko juu ya CUF iko chini WHY NOT VICE VERSA?
Hiyo bendera wanatembea nayo kuzuga kuwa mikutano yao imeitishwa na UKAWA halafu waanza kujinadi kama CHADEMA kilichopewa eneo hilo na UKAWA.
ningefurahi kama woote waliohudhuria mkutano huo wangekua wamejiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura
leo kijij cha berege wilaya ya mpwapwa ka delete kabisa ccm, wagogo hatuwaangushi tena wapambanaji