Operation ya JK imeendeshwa kinyume

Nyumba za wahamiaji (nachelea kutumia haram, binadamu hawezi kuwa haram) zimechmwa, mifugo inaibiwa na familia zinatenganishwa kule Kagera.

Kigoma na Geita kimyaaa! Ukweli ni jk hakuagiza hivyo. Alisema: MIFUGO IONDOLEWE HIFADHINI, NG'OMBE WALIOINGIZWA WARUDISHWE WALIKOTOKA, WAHAMIAJI WALIOPEWA VIBARI NA WATENDAJI WA VIJIJI WARUDISHWE, NA WANAOINGIA KIHOLELA WAFUATE UTARATIBU.

Hajase waliozaliwa hapa na wana mifugo yao waondoshwe haraka, hajasema wenye vibari halali vichanwe na watimuliwe, hajasema wana vijiji wavamie nyumba na kuzichoma eti ni za wahamiaji haram, na kula mifugo yao.

JK, inabidi aingilie kati manake anaonekana analipiza kisasi kwa Kagame, kumbe hakuwa na nia mbaya kiongozi wa watu.
Eeeh bana hao jamaa ni ruthless ukisikia jinsi walivyokua wanawafanyia wenyeji baada ya kupata vibali fake kwa kuhonga usingeliwaonea huruma. Halafu wana hila nyingi nadhani ndio maana nguvu inatumika. Bila hivyo huwezi kuwatoa hao. Pamoja na hivyo sio kama naunga mkono wale wasiokua wakorofi wafanyiwe vitendo vya ubabe au kuhujumiwa haki zao.
 
we ni mbuzi sana tofauti ni kwamba ni kwamba ni mbuzi unaekula ugali......na wewe kama ni mjuu wao au mjomba au shangazi yao utakwenda na lazima tukufikie tu
 
kama kuna nchi yenye watu wajinga duniani basi tanzania inaweza ikaongoza mafisadi wanaofanya tuishi maisha magumu mnawapigia magoti na kuwaalika makanisani kama watakatifu mko kimya na kuwashabikia hizo vurugu kwa nini msiwafanyie hao kama kweli mnauchungu na nchi na unaweza kuta wanafanya hivyo ni vijana wanaodanganywa eti taifa la kesho

rudi kwenu mkuu
 
Huna lolote geni. Rudi kwenu ulikotoka utuache na tz yeti. Hatishwi mtu hapa.

wewe sema tu,kesho utakua kizimbani ukisema ulidanganywa na viongozi,eti haikua niya yako,acheni roho za kutu,kwanini msiwape muda waondoke kwa uzuri? hivi wange kua watanzania ndio wanafurushwa rwanda au uganda ungeona jinsi povu lingekua linawatoka wabongo,furahini kwamba mungu aliwapa aridhi kubwa lakini kumbuka aliye wapa ndiye aliwanyima hao mnao wafukuza,na anauwezo wa kuutwaa huo udongo kwani hamukuonyesha hekima ya kuwasitili watu wake,mimi sina mengi nchi niyako labda kesho hawa wazungu wanaweza kukaa nakurudia mipaka ukajikuta rwanda kwani hii mipaka iliwekwa na wazungu,kwahiyo usijisikie sana kwa kumnyanyasa mwafrika mwenzako eti kwasababu ya ardhi,hilo nidongo tu sisi wote ni wateja wa mita mbili udongoni tuta iacha,fikiria wakati wahukumu unakuja ulizwa uliyotendea binadamu mwenzako,yani nimeshangaa kuona jinsi watu wanamiroho yakutu namnahii sikutegemea kwa mtanzania kuwa na fikira kama zako.
 
Mkuu hawa ni warwanda wanateteana hata kama kazaliwa hapa tanzania kama kazaliwa kihalamu na halamu waondoke tu tumechoka na uharifu wao.

mi nakwambia hata hao halali najua kesho mtawaanzishia tu,kwa ideology ya kuwachukia wanyarwanda ndo inaanza kuwaingia,tena hatakua kuwafukuza hata kuwaua hii ndio ishara ya mambo yanayo tendeka sasa,unaona umeisha anza eti wa halali nao waende,mimi yangu macho,lazima niongee ukweli kwani huu ni unyanyasaji kabisa,watu walikua wanaishi maporini mnawafukuza sasa hao manyani na ngedele ndio mumeona wanathamani kuzidi binadamu?
 
rudi kwenu mkuu

mna ambiwa na watanzania halisi mnaanza kusema rudi kwenu oke acha niende zangu mtwara,hapo napo ni rwanda? pole sana unajua siasa huzijui,hili sakata ni jk kutaka ku create attention watanzania wasahau majanga,tena naona hilo deal limekula kwani watanzania wote wawe wapinzani na ccm wamekua wamoja katika hili jambao,mmesahau mambo yenu ya ndani,huu mchezo hata kabila aliutumia baada ya kuiba kura kisekedi alimkabakoo pamoja na internationa community,basi ili apoteze lengo la hao jamaa ndio kulianzisha na M23 sasa wote wameungana,hizi ndizo siasa za sikuhizi,mtu yuko tayari kuanzisha vita kwa manufaa ya kisiasa,kwani kama asinge zua hili la wanyarwanda kesi ya mtwara na mabomu ya arusha yange mkaba koo,lakini sasa watu wametokwa povu juu ya wanyarwanda na kusahau tofauti zao.
 
Hata kama!!! Waende na matusi ya mkulu wao tumechoka sasa na wakikaidi watakumbana na usemi mashuhuri wa Waziri Mkuu

siumalizie tu mkuu eti wapigwe tu! unajua tatizo la watanzania tangia mpate uhuru hapajawahi kutokea vita ya wenyewe kwa wenyewe ili ujue taabu yake,hawa watu unaosema wapigwe waliisha teseka sana,sasa wanasema ukumfungia paka ndani yanyumba ukaanza kumpiga utaona ukali wake,ujue yeye nibinadamu kama wewe amekubali kuondoka kwa upole sasa wewe eti wapigwe? mmmh,mungu akuhurumie sana,kwani hujui ulisemalo.
 
we ni mbuzi sana tofauti ni kwamba ni kwamba ni mbuzi unaekula ugali......na wewe kama ni mjuu wao au mjomba au shangazi yao utakwenda na lazima tukufikie tu

angalia usije jikuta wewe ndio unakimbizwa na kuishi ukimbizini kwani yadunia hayatabiliki,kama ndio ubaguzi umeanza hivyo,kesho mtawabagua hata watanzania wenzenu,na hatimaye kuanza kuuana,mnasema watanzania sio wauaji lakini kunawakati mambo yanageuka kwasababu yachuki kamahizi zinakua kidokidogo.
 
yani nikiangalia hili sakata la pk na jk ,nalifananisha na mwanamke na mwanaume wamekosana huko chumbani labda mwanamke katoa unyumba nje yandoa na bwana kalivumbua hilo na kuanza kumuuliza mama iweje kugawa vyangu,na mwanamke kutoka baruti chumbani na kukimbilia sebureni na bwana kumzaba kibao mbele ya watoto na mama kuambia watoto mnamuona baba yenu mambo anayo nifanyia?,na watoto kuanza kumtetea mama yao kwamba baba ni mtu mbaya kampiga mama bila kosa,lakini watoto hawajui hasa kisa cha kupigwa mama yao,basi ndugu zangu punguzeni hasira kwani hamjui kisa na mkasa.
 
Haramu waondoke woote waende kwao kwan tumewachoka....pia zoez hil lhamie na humu jf moderators tunawategemea sana katka hil, kuporwa mifugo ni mavuno yakuish vzuri na wenyej wenu, mkataa kwao ni mtumwa..
 
Eeeh bana hao jamaa ni ruthless ukisikia jinsi walivyokua wanawafanyia wenyeji baada ya kupata vibali fake kwa kuhonga usingeliwaonea huruma. Halafu wana hila nyingi nadhani ndio maana nguvu inatumika. Bila hivyo huwezi kuwatoa hao. Pamoja na hivyo sio kama naunga mkono wale wasiokua wakorofi wafanyiwe vitendo vya ubabe au kuhujumiwa haki zao.
Sasa wewe unanichekesha wangekua wababe mungewaswaga kama n'gombe wakakubali? hebu acheni unafiki,halafu wewe umesikia hujajionea.
 
Jamani kwani lazima muishi tz tu?rudini kwenu tumewabeba vya kutosha ila hambebeki nyie na madharau yenu kuona wengine si watu.
 
Haramu waondoke woote waende kwao kwan tumewachoka....pia zoez hil lhamie na humu jf moderators tunawategemea sana katka hil, kuporwa mifugo ni mavuno yakuish vzuri na wenyej wenu, mkataa kwao ni mtumwa..

Watu wanahaki ya kuongea(freedom of speech),huwezi ita mtu haramu hata mungu hajawahi kumuita mtu haramu,unanishangaza kumchukia mtu hata hujawahi kugombana naye,just kwasababu umesikia radioni eti watu wahamiaji haramu wamepewa siku 14 waondoke na wewe ndio kuanza kuwaita haramu,subiri kesho nawewe waweza kuwa haramu,dunia ni mzunguko in and out,huwezi juwa.
 
na wewe mwenzao nini?kama ndio tokeni jamani tumewachoka.mlikuja na godoro tu mnaondoka na ng'ombe,gari huoni tumewasaidia vya kutosha?nendeni mkabanane huko huko wanafiki nyie.
 
Jamani kwani lazima muishi tz tu?rudini kwenu tumewabeba vya kutosha ila hambebeki nyie na madharau yenu kuona wengine si watu.

kwanza wewe hata ulikua hujui kama kulika na wanyarwanda tanzania umevijua juzi tu,hakuna aliye kataa kuondoka bali muache ukatili,acha watu waondoke kwa amani na mali zao,hivi watu wanachomewa manyumba na kupigwa mishare kisa eti ni haramu,just jiweke nafasi yao wewe utajisikiaje? hakujua kama ungezaliwa tanzania labda ungekua mnyarwanda ungejisikiaje kama yange kutokea,ugomvi wa pk na jk hauwezi kuwa kigezo cha kuwanyanyasa hao watu,hawana haja yakun'gang'ania nchi za watu wasiowataka ndio maana wanaondoka kwa amani,je umesikia muhamiaji kagombana na mtanzani katika zoezi hili? unafikiri hawawezi hilo? ila ni watu wanao heshimu watanzania,therefore waacheni waondoke kwa amani bila kuwapora mali zao.
 
na wewe mwenzao nini?kama ndio tokeni jamani tumewachoka.mlikuja na godoro tu mnaondoka na ng'ombe,gari huoni tumewasaidia vya kutosha?nendeni mkabanane huko huko wanafiki nyie.

ahayo ndio yanaitwa maendeleo,ulitaka waje na godoro warudi na jamvi? hili ndio linaonyesha jinsi hao wahamiaji walivyo wachap[akazi kwani mali walizo nazo hawakuibia mtu yeyote,walizipata kwa jasho lao,tena hawa watu wakati wa ukimbizi walikua wanapelekwa maporini sehamu zisizo kua na watu,yani wanaanza zero na kufikia hali walio nayo sasa,sasa badala ya kuwasifia kwamba ni wanaume wewe una wakejeli eti walikuja na godoro sasa wanarudi kwao na man'gombe.
 
Back
Top Bottom