Operation ya JK imeendeshwa kinyume

Operation ya JK imeendeshwa kinyume

RUTAJUMBUKIRWA

Senior Member
Joined
May 3, 2009
Posts
185
Reaction score
89
Nyumba za wahamiaji (nachelea kutumia haram, binadamu hawezi kuwa haram) zimechmwa, mifugo inaibiwa na familia zinatenganishwa kule Kagera.

Kigoma na Geita kimyaaa! Ukweli ni jk hakuagiza hivyo. Alisema: MIFUGO IONDOLEWE HIFADHINI, NG'OMBE WALIOINGIZWA WARUDISHWE WALIKOTOKA, WAHAMIAJI WALIOPEWA VIBARI NA WATENDAJI WA VIJIJI WARUDISHWE, NA WANAOINGIA KIHOLELA WAFUATE UTARATIBU.

Hajase waliozaliwa hapa na wana mifugo yao waondoshwe haraka, hajasema wenye vibari halali vichanwe na watimuliwe, hajasema wana vijiji wavamie nyumba na kuzichoma eti ni za wahamiaji haram, na kula mifugo yao.

JK, inabidi aingilie kati manake anaonekana analipiza kisasi kwa Kagame, kumbe hakuwa na nia mbaya kiongozi wa watu.
 
nyumba za wahamiaji (nachelea kutumia haram, binadamu hawezi kuwa haram) zimechmwa, mifugo inaibiwa na familia zinatenganishwa kule Kagera. Kigoma na Geita kimyaaa! Ukweli ni jk hakuagiza hivyo. alisema: MIFUGO IONDOLEWE HIFADHINI, NGOMBE WALIOINGIZWA WARUDISHWE WALIKOTOKA, WAHAMIAJI WALIOPEWA VIBARI NA WATENDAJI WA VIJIJI WARUDISHWE, NA WANAOINGIA KIHOLELA WAFUATE UTARATIBU. hajase waliozaliwa hapa na wana mifugo yao waondoshwe haraka, hajesema wenye vibari halali vichnanwe na watimuliwe, hajasema wana vijiji wavamie nyumba na kuzichoma eti ni za wahamiaji haram, na kula mifugo yao. JK, inabidi aingilie kati manake anaonekana analipiza kisasi kwa Kagame, kumbe hakuwa na nia mbaya kiongozi wa watu

Muache hata yeye jk atapelekwa ICTR kwani hiyo ni genocide hakuna ajabu kwa jk kuwalenga hao watutsi,kwanza kawaita haram,kingine yeye mwewe ni muhutu wa burundi,hakuna cha ajabu hapo,tutegemee mengi,tanzania wanacheza na damu za watu bila kuelewa implication yake hapo baaday
 
Nyumba za wahamiaji (nachelea kutumia haram, binadamu hawezi kuwa haram) zimechmwa, mifugo inaibiwa na familia zinatenganishwa kule Kagera.

Kigoma na Geita kimyaaa! Ukweli ni jk hakuagiza hivyo. Alisema: MIFUGO IONDOLEWE HIFADHINI, NG'OMBE WALIOINGIZWA WARUDISHWE WALIKOTOKA, WAHAMIAJI WALIOPEWA VIBARI NA WATENDAJI WA VIJIJI WARUDISHWE, NA WANAOINGIA KIHOLELA WAFUATE UTARATIBU.

Hajase waliozaliwa hapa na wana mifugo yao waondoshwe haraka, hajasema wenye vibari halali vichanwe na watimuliwe, hajasema wana vijiji wavamie nyumba na kuzichoma eti ni za wahamiaji haram, na kula mifugo yao.

JK, inabidi aingilie kati manake anaonekana analipiza kisasi kwa Kagame, kumbe hakuwa na nia mbaya kiongozi wa watu.

Pole sana mkuu,kwakuwa JK anapitapita humu mitandaoni pengine atasikia kilio chako!!
 
Nyumba za wahamiaji (nachelea kutumia haram, binadamu hawezi kuwa haram) zimechmwa, mifugo inaibiwa na familia zinatenganishwa kule Kagera.

Kigoma na Geita kimyaaa! Ukweli ni jk hakuagiza hivyo. Alisema: MIFUGO IONDOLEWE HIFADHINI, NG'OMBE WALIOINGIZWA WARUDISHWE WALIKOTOKA, WAHAMIAJI WALIOPEWA VIBARI NA WATENDAJI WA VIJIJI WARUDISHWE, NA WANAOINGIA KIHOLELA WAFUATE UTARATIBU.

Hajase waliozaliwa hapa na wana mifugo yao waondoshwe haraka, hajasema wenye vibari halali vichanwe na watimuliwe, hajasema wana vijiji wavamie nyumba na kuzichoma eti ni za wahamiaji haram, na kula mifugo yao.

JK, inabidi aingilie kati manake anaonekana analipiza kisasi kwa Kagame, kumbe hakuwa na nia mbaya kiongozi wa watu.

Alikuwa wapi siku zote asiwatimue mpaka walipogombana na kagame?
 
Acha uchochezi JK alieleweka vizuri labda tu ulilalia masikio. Wafuate taratibu mbona unawasemea? na kama na wewe ni mhusika fuata taratibu na kingine Kagera wamechoshwa na security instability miaka nenada rudi!!!!!!!!!!!!!111
 
Muache hata yeye jk atapelekwa ICTR kwani hiyo ni genocide hakuna ajabu kwa jk kuwalenga hao watutsi,kwanza kawaita haram,kingine yeye mwewe ni muhutu wa burundi,hakuna cha ajabu hapo,tutegemee mengi,tanzania wanacheza na damu za watu bila kuelewa implication yake hapo baaday

Huna lolote geni. Rudi kwenu ulikotoka utuache na tz yeti. Hatishwi mtu hapa.
 
Acha uchochezi JK alieleweka vizuri labda tu ulilalia masikio. Wafuate taratibu mbona unawasemea? na kama na wewe ni mhusika fuata taratibu na kingine Kagera wamechoshwa na security instability miaka nenada rudi!!!!!!!!!!!!!111
Mkuu hawa ni warwanda wanateteana hata kama kazaliwa hapa tanzania kama kazaliwa kihalamu na halamu waondoke tu tumechoka na uharifu wao.
 
Kwa nini hawajatumia muda walio pewa vizuri.
 
kama kuna nchi yenye watu wajinga duniani basi tanzania inaweza ikaongoza mafisadi wanaofanya tuishi maisha magumu mnawapigia magoti na kuwaalika makanisani kama watakatifu mko kimya na kuwashabikia hizo vurugu kwa nini msiwafanyie hao kama kweli mnauchungu na nchi na unaweza kuta wanafanya hivyo ni vijana wanaodanganywa eti taifa la kesho
 
uonevu kama huo aukubaliki kuna watu wana take advantage ya agizo la kikwete ili wawaibie mali zao.
dunia ni mapito tu
 
acha uchochezi jk alieleweka vizuri labda tu ulilalia masikio. Wafuate taratibu mbona unawasemea? Na kama na wewe ni mhusika fuata taratibu na kingine kagera wamechoshwa na security instability miaka nenada rudi!!!!!!!!!!!!!111

kiujumla warudi kwao wakajenge nchi yao tumechoka kutunza majizi.
 
kama kuna nchi yenye watu wajinga duniani basi tanzania inaweza ikaongoza mafisadi wanaofanya tuishi maisha magumu mnawapigia magoti na kuwaalika makanisani kama watakatifu mko kimya na kuwashabikia hizo vurugu kwa nini msiwafanyie hao kama kweli mnauchungu na nchi na unaweza kuta wanafanya hivyo ni vijana wanaodanganywa eti taifa la kesho

mtazungumza yote yanayozungumzika lakini ni lazima mbebe magodoro yenu na vitanda mrudi kwenu kama mlivyokuja baada ya kujenga fitina na chuki huko kwenu.
 
[FONT=times new
roman]Nyumba za wahamiaji (nachelea kutumia haram, binadamu
hawezi kuwa haram) zimechmwa, mifugo inaibiwa na familia zinatenganishwa
kule Kagera.

Kigoma na Geita kimyaaa! Ukweli ni jk hakuagiza hivyo. Alisema: MIFUGO
IONDOLEWE HIFADHINI, NG'OMBE WALIOINGIZWA WARUDISHWE WALIKOTOKA,
WAHAMIAJI WALIOPEWA VIBARI NA WATENDAJI WA VIJIJI WARUDISHWE, NA
WANAOINGIA KIHOLELA WAFUATE UTARATIBU.

Hajase waliozaliwa hapa na wana mifugo yao waondoshwe haraka, hajasema
wenye vibari halali vichanwe na watimuliwe, hajasema wana vijiji wavamie
nyumba na kuzichoma eti ni za wahamiaji haram, na kula mifugo yao.

JK, inabidi aingilie kati manake anaonekana analipiza kisasi kwa Kagame,
kumbe hakuwa na nia mbaya kiongozi wa watu.
[/FONT]

Collateral damage haziepukiki kwenye maamuzi magumu kama haya.
 
Wewe ni mhamiaji haramu, au ndugu zako wahamisji? Pole

Tatizo we ni mashamba hujui maana ya ukimbizi. Nisingependa tz iingie kwenye hilo tatizo ila usiwaone hawa watu na kuwadharau. Mi mtz naishi usa nawaona jinsi wakimbizi wanavyokiwa treated, si kama unavyoona jk alivyofanya
 
Back
Top Bottom