ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 643
- 1,603
kazi kweli kweli, tuwatakie tu kila la heri, kukijenga chama kipya siyo shughuli ndogoNgoja tuone mwisho wa harakati hizo za ACT, sidhani kama sera zinazoenezwa na chama hicho ni za kuwaletea maendeleo watanzania, usije ukawa ni mwendelezo wa njaa zenu binafsi
Muda unakwenda, jitahidini muambulie walau madiwani 3
Ha ha ha ha Hata wewe!Mbona jitihada zote naziona kwa mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi tu? Huko kwingne je hususan kule kusini?
Taarifa kutoka kwa timu inayoongozwa na KATIBU MKUU Mzalendo Samson Mwigamba.
Tumemaliza majimbo MATATU SINGIDA,majimbo MAWILI TABORA, majimbo MAWILI SHINYANGA.
Leo tumeingia GEITA tukitokea KAHAMA hapa ni jimbo MOJA.
Kesho tunaanza KIGOMA majimbo yote na kisha tutaenda KATAVI majimbo MANNE tutaelekea RUKWA majimbo MAWILI na kisha tutaelekea TABORA majimbo MATATU.
Ingekuwa njema kama wewe na wewe hapa usingepambana na opposition, Ulichofanya hapa ni kupambana na ACT ambao ni opposition, kwa hiyo kuna utofauti Gani???shame on u,atakaye waunga mkono nae hazimtoshi.how comes instead of fighting the leading mnatumia nguvu nyingi kupambana na opposition.Tuwaelewe vp kama sio vibaraka mnaoutumika?Elimu mliyonayo haiwasaidii kabisa,mnaziweka mfukoni na kusikiliza akili za kuambiwa.Tutaona mwisho wenu wapi