Operation ng'oa Magufuli inakuja


utakutana na wale wasiojulikana, we fanya mchezo.
 
Kweli ccm ina vijana magarasa jamani, hata kujenga hoja ktk hili wanashindwa wanaongea upuuzi kwelikweli! kwa hoja hamuwezi kabisa upinzani.

Hapa Tu umeongea Pumba Unategemea Pumba zijibiwe kwa Hoja ??

Kabla ujaandika nenda Chooni Kakate Gogo
 
Yaani Lumumba wamesoma sentensi ya "Operesheni Ng'oa Magufuli Inakuja", wamepaniki kiasi ambacho wanaweza kuamrisha jeshi la polisi kwenda "kutawanya maandamano" kwa risasi za moto za SMG na AK47... !!

Wengine wameshaanza hata kumhukumu huyu Dada mleta hoja kuwa ni "Muhaini" kwa sbb eti anahamasisha kumng'oa Rais Magufuli wakati eti alipigiwa kura na kushinda ktk uchaguzi....!!

Hawa watu dizaini ya Rutashobolwa hata hawaelewi kuwa, Magufuli anaweza kung'oka kwa kutumia njia hiyohiyo ya kura zilizomfanya awe Rais kwa kura za wizi.....Wapi uhaini hapo ???

Pia zipo njia lukuki za kikatiba za kumng'oa Rais Magufuli (impeachment) hata kama hajamaliza muda wake wa miaka mi5 iwapo tu inathibitika kuwa hastahili kuendelea kuwa Rais especially kwa kufanya makosa ya kikatiba ambayo tayari ameshayafanya meeengi tu....... Wapi uhaini hapo ??

OPERESHENI NG'OA MAGUFULI na ije tu tumng'oe huyu kwa sababu hakuna namna tena ya kumsaidia na kuendelea kumvumilia..!!
 
Mbona unamfundisha mwenzio nidhamu ya uoga man
Kwani kutaka mtu atawale milele kinyume na katiba siyo uhaini man au nyie ndiyo wale mnaojipendekeza
 
Niko mstari wa mbele hapo ktk operation yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…