Rose Mayemba
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 721
- 1,017
Ulishindwa kumuondoa Upendo Furaha Peneza akaku overtake akapewa ubunge ndio utamuweza Magufuli.Kuna kampeni imeanza,inaitwa "MAGUFULI BAKI"
Hii inalenga kuwaaminisha watanzania kwamba hakuna mtu mwingine wakuiongoza Tanzania milele Magufuli.
Na kampeni hii inaonekana haivunji sheria yoyote ya nchi.
Wakitokea watu tofauti kuipinga hiyo kampeni wataonekana wanavunja sheria na wengi wataozea ndani.
HII TANZANIA HII
watu wanaamini kila linalotokea ni mpango wa Mungu.
Hawajui kwamba mengi yanayotokea ni yale tunayopanga na kuamua wenyewe kwa utashi tuliopewa.
MIMI NAANZISHA OPERATION NG'OA MAGUFULI TUONE KAMA KUNA SHERIA NIMEVUNJA
By mjinga mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaaaaaaaaMh utafungwa au kupotea kama Ben shauri lako! alishasema hajaribiwi.
hivi unajua kuwa wezi na walio fanya nchi kuwa tuliko ( HOI) ni sisiemu.ILI MPATE UHURU WA KUFANYA UFISADI NA KUPIGA MADILI??
TUNAANDAA MKAKATI AONGOZE MDA USIOJULIKANAAAA.
MAFISADI TULIENI HUU NDO MWISHO WENUU
MAGUFULI HANG'OKI ATA KIDOGO. HADI MSHIKE ADABUUU.
MUMETUIBIA WANYONGEEE, INATOSHAAA.
KAENI PEMBENI NA TENA PISHENI KABISAAA
kati yao ni mawaziri wakuu wawili walioko Chadema!hivi unajua kuwa wenzi na walio fanya nchi kuwa tuliko ( HOI) ni sisiemu.
1. Huwezi safisha ndoo chafu kwa kutumia maji machafu.
2. Ukiweka divai mpya kwenye kiriba kikuu lazima kiriba kipasuke.
3. Mswahili anaoga kisha anaosha malapa na anakwenda ndani peku peku ili malapa yasichafuke.
Nilijua tu mngeshindwa kuwa na majibuUngeanza na operesheni ya kumuondoa mwenyekiti wa kudumu wa Chama chenu kwanza.
Unajadili vizuri lakini uko nje ya madakati yao ni mawaziri wakuu wawili walioko Chadema!
jitahidi kuficha upumbavu wako,onyesha busara zako ,hao wanaokusupport ukipelekwa kisutu ata chai watashindwa kukuletea.Ni wengi tu hatukubaliani na utawala wa magufuli ila hatuvuki mipaka kama weweKuna kampeni imeanza,inaitwa "MAGUFULI BAKI"
Hii inalenga kuwaaminisha watanzania kwamba hakuna mtu mwingine wakuiongoza Tanzania milele Magufuli.
Na kampeni hii inaonekana haivunji sheria yoyote ya nchi.
Wakitokea watu tofauti kuipinga hiyo kampeni wataonekana wanavunja sheria na wengi wataozea ndani.
HII TANZANIA HII
watu wanaamini kila linalotokea ni mpango wa Mungu.
Hawajui kwamba mengi yanayotokea ni yale tunayopanga na kuamua wenyewe kwa utashi tuliopewa.
MIMI NAANZISHA OPERATION NG'OA MAGUFULI TUONE KAMA KUNA SHERIA NIMEVUNJA
By mjinga mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
kati yao ni mawaziri wakuu wawili walioko Chadema!
Sijakataa nakubali kabisa, tena ninahamu washitakiwe kwa yote walosababishia nchi kuwa katika kipindi cha utawala wao, na wote wenye kinga waondolewe kinga ili waunganishwe pamoja. kunawakati ili kusafisha choo kichafu inabidi ufunge macho na pua.kati yao ni mawaziri wakuu wawili walioko Chadema!
POLE XANA NDUGU YANGU. INAWEZEKANA UFUKUZWA KAZI KWA KUKUTWA UNACHETI CHA DARASA LA SABA.hivi unajua kuwa wenzi na walio fanya nchi kuwa tuliko ( HOI) ni sisiemu.