Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,836
Mbaazi hazina ladha. Ndio maana hazina soko hapa bongo. Suluhisho ni kama kunamatumizi ziadi ya kula kama mboga. Kama inawezekana kiextract hivyo virutubisho au kitengeneza pombe soko litakiwepo tu.
Njia nyingine hii serikali ni ya kilazimisha mambo kwa kauri. Waseme shule zote za secondary wale mbaazi atleast siku tatu kwa week.
Zikipikwa vizuri ni tamu sana, tena unaweza ukatamani ule kila Siku hasa Kwa wali wa nazi! Kuna namna ya kuzipika ili ziwe Kwenye radha Yake ya asili, tena zikichemshwa Kwa Maji kidogo kidogo na chumvi kiasi na kukatia kitunguu na nyanya kipande nusu Kwa mbali yani Hata usipoweka mafuta ya kupikia wala chochote Kwa wali ni tamu sipati kukwambia!

