Operation korosho na hasira za mkizi

Vumilia tu maana uvumilivu wa maumivu ndiyo uzalendo na mjiandae kuikopesha sirikali
Pesa zetu wakulima zimefikia wapi, maana hatujalipwa hadi leo
 

Mwaka jana hizo cartel za wanyonyaji hazikuepo? Au ni nani alienunua kilo kwa zaidi ya 4000?
 
Kuna magonjwa ya mimea huwa yana hama kutoka nchi 1 kwenda nyingine vip hilo umelifikiria kabla ya kulaumu
Wenzako wako wanabisha kila kitu walahi
Hiyo miasira ya mkizi iko kwao ndio maana wabunge wana timka walahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…