Hebu lete nyama bana mifupa haifai.Ndugu wana jamii Forum naomba kuleta uzi huu hapa jamvini na kuwafahamisha kuwa operation inayoendeshwa na CDM ktk jimbo la Moshi (v) ni shidaaa, kusema ukweli jamaa wamejipanga aisee!!! Mbunge wangu jipange kutetea kiti chako.
Hebu lete nyama bana mifupa haifai.
Ndugu wana jamii Forum naomba kuleta uzi huu hapa jamvini na kuwafahamisha kuwa operation inayoendeshwa na CDM ktk jimbo la Moshi (v) ni shidaaa, kusema ukweli jamaa wamejipanga aisee!!! Mbunge wangu jipange kutetea kiti chako.
Juzi Jumanne mwenyekiti wa wazazi wa wilaya wa CHADEMA na mwenyekiti wa kijiji cha Tsuduni CHADEMA walivua kombati wakavaa magwanda. Hapo ni delete CCM au delete CHADEMA?
Hao ni watu wawili, na bado hawajitumbui thats why? Wamepotea hao!!
Mkuu MSALANI.Kuna haja gani ya Chadema kufanya operesheni hizi uchagani? Huko si ndio makao makuu ya chadema?
Mkuu MSALANI.
Umenipasua mbavu unajua hawa pro-Chadema wengi hawajitambui wameshikiwa akili na Mbowe wakati Mbowe anakula bata Oman.
![]()
Ndugu wana JamiiForums naomba kuleta uzi huu hapa jamvini na kuwafahamisha kuwa operation inayoendeshwa na CHADEMA ktk jimbo la Moshi (v) ni shida, kusema ukweli jamaa wamejipanga aisee!!! Mbunge wangu jipange kutetea kiti chako.
Kama unadhani tunatania utakuwa umekosea sana !Mkuu hawa misukule wamefungwa akili, uwezo wao wa kufikiri uko chini sana.