Operation Chaos: Lowassa, Chenge, Rostam et al; Don't Quit CCM!

Mkuu,

Kuna taarifa kuwa wote watatu washatumiwa barua kwa 'dispatch' na kwa sasa wanajipanga. Pasaka au siku moja/mbili baadae wanaweza kuja kivingine.

Imetulia hii Mkuu!

Safari sasa imefika Mlima Kitonga yaani Ngoma inogile!

Respect.
 
Nayaunga mkono mawazo yako.

Personally sikubaliani na ccm kuwahukumu mapacha wakati bado mafisadi wengi tu wanaendelea na nyadhifa zao ndani ya chama

Viongozi kibao wa idara na mashirika ya umma wangeondolewa kwanza then wafwate waliondani ya chama.
Jaman ccm inatuzuga JK mwenyewe gamba

Haiwezekani wale wote leo washutumiwe watatu.
HAMNA ANAYEWEZA KUWANYOSHEA KIDOLE ETI MAPACHA HAWAFAI ndani ya CCM wakati ni mfumo wao wa maisha
 

Hapana MM, wacha tu waondoke, usisahau kwamba when it comes to CCM impossible is nothing, we unaweza kudhani kutoondoka kwao kunaweza kuleta ka-dram flani na labda kupelekea chama kumomonyoka zaidi lakini inaweza isiwe hivyo, waking'ang'ania mwenyekiti atawaita wataongea, watajadiliana watoke na statements gani za kuduwaza. Hii ikitokea sisi (wananchi) ndio tutakuwa tunapoteza, hii ni GOLDEN CHANCE na ni muhimu itumike.....WACHA TU WAENDE MM
 
 

Jamani, Kazi tuliyofanya ni kubwa, kumuondoa fisadi mmoja tu kama RA ni kazi inayohitaji pongezi, Yes, najua si hao watatu pekee, najua wapo wengi wengine, some of them wamewahi kushika/ wanashika nafasi kubwa kabisa nchini, Lakini wacha hawa watatu waondoke kwanza afu tuendelee kuwachomoa wengine, come 2015 tutakuwa tumewamaliza kabisa
 

Baada ya maneno yote yaliyosemwa na wanapropaganda wa CCM hakuna mwenyekiti wala Katibu atakayeweza kuwaita wazungumza.. kwani pasipo wao kuondoka wataonekana CCM wamezidiwa na mafisadi na wakiondoka bila kufuata taratibu wataonekana wameondolewa kibabe.
 
Oldman of the Village.......tuandikie kwa kiswahili bana........mambo ya kuja JF na dikshenari taabu sana:loco:
 
Kama kuwaondoa RA na EL ni lazima watanguliwe na JK kwani katika watu waliowezesha kumuingiza JK kwenye nafasi ya Urais wawili hao ndio waliotoa mchango mkubwa kufanikisha hilo. JK aliingia madarakani kwa nguvu ya ufisadi hivyo kama wanataka kupambana na ufisadi ni lazima waanze na yeye otherwise hakuna chochote kitakachofanyika.
 

MM, unakumbuka serikali ambayo mkuu wake ni JK ilimburuza Mramba kortini, ilipofika wakati wa uchaguzi JK anaenda kumuombea kura na anasema 'HAJAONA MCHAPA KAZI KAMA MRAMBA?'. Wananchi walipohoji hii inakuwaje, unakumbuka majibu yake? 'ETI ZILE NI TUHUMA TU, HAZIJATHIBITISHWA, HADI ITHIBITIKE MAHAKANI NDIO TUTASEMA HUYU MTU SI MSAFI' Yeye mkuu wa serikali, serikali anayoingoza inaamini kuwa mramba mchafu ndio maana ikamburuza mahakamani, mkuu wa serikali anasema eti haijathibitika, hii ndio CCM MM.

Pia RA, EL na Chenge wakiendelea kukaa watatupotezea muda, wengi wetu tutaendelea kuhangaika nao wakati walitakiwa wawe wameshakaa pembeni ili tupeleke nguvu zetu kuwachoropoa mafisadi wengine, wapo wengi!
 
Mkuu,

Kuna taarifa kuwa wote watatu washatumiwa barua kwa 'dispatch' na kwa sasa wanajipanga. Pasaka au siku moja/mbili baadae wanaweza kuja kivingine.

Hadi nione nakala zake mkuu, jaribuni kubandika basi
 
Nahisi kama kuna watu hawajamuelewa mwanakijiji vile, iweke kiswahili baba wataelewa hao wengine
 
There was no need for JK to cause this comotion (sp) with his 'vua magamba' campaign. One thing that RACHEL cares about more than anything in the world is their ego,and this move has bruised their ego! Please don't take the front seat for you are sure to leave with blood spots from this fight.
Their is no way in hell or heaven that RACHEL will leave silently ESPECIALLY after being humiliated. I'm stretchin my imagination here to believe that unless JK silently/subtly threatens them with the involvment of JESHI these niggas aint goin no where,too much is at stake!
 
Nahisi kama kuna watu hawajamuelewa mwanakijiji vile, iweke kiswahili baba wataelewa hao wengine
MM kaeleweka howard, anahisi kama RA na wenzake watakomaa basi kunaweza kutokea mvurugano ndani ya chama, lakini hawa watu msiwakaridirie hivyo, wanaweza kuibuka siku moja wakasema kitu kingine kabisa, wanaweza kuibuka na kusema hawa watu ni wasafi sana ila walikua wanafanya tu kukinusuru chama na kwa kuwa chama kimeshanusurika hamna tena sababu ya kina RA kuondoka, Tutafanyaje?....Jamani time is now, wacha tu waondoke afu si twendeleze muziki kuwachomoa mafisadi wengine
 
Nahisi kama kuna watu hawajamuelewa mwanakijiji vile, iweke kiswahili baba wataelewa hao wengine

Nadhani ibaki kwa kiingereza kwa sababu,

Ikiwa kwa Kiswahili ndo utakutana na idadi kubwa ya wachangiaji ambao uwezo wao wa kuelewa hoja ni mdogo kisha watajaza thread hii na pumba. Nimefurahia quality ya mawazo kwenye hii thread

Hata hivyo kuna watu wengi hapa wamechangia kwa Kiswahili na bado utapata wachache wanatoka nje ya mstari. Hivyo shida hasa siyo lugha iliyotumika bali uwezo wa kuelewa hoja.

Pia, kama hawajui kiingereza basi wajifunze na hii ni fursa kwao- mjadala kwa kiingereza
 
Anayosema MM inaonekana kama utani lakini ukweli kuwaondoa hao mafisadi kwenye chama ni hatari zaidi kwani wamekuwa ni sehemu ya chama kwa maana nyingine uwezi kuwaondoa na chama kikabaki salama. Ikumbukwe kuwa EL alishasema kabla kujiuzulu uwaziri mkuu kwammba kama tutaanza kumchunguza kila mmoja hakuna atakayesalimika.
 
Do you think it is so easy for EL to quit CCM just like that? Forget. Who will fill his position, Namsikitikia huyo dogo Nawie amejikita katikati bila kupima kwanza kama ni ugali au mboga. wait and see
 
Mi ninavyojua ishu ya mapacha watatu imetengenezwa na vyombo vya habari,,CCm wanawajua watu wao wa kuwatoa kafara kwenye hili.

Movie ya sasa, na hasa ya kwenye mkutano wa jana imekua wanaanza na mafisadi wa chini, na hasa watumishi wa serikali wanaojifanya miungu watu kwa wananchi walioko kwenye kata,vitongoji na vijiji.
 


Hapo kwenye red... You mean hata Saif al-Islam wa Magogoni hawezi pona?
 


Hahaha. Sacarsm au reverse psychology??
 

Most of you blame JK for doing this; hakufanya wala asingetamani kufanya hivyo. JK is forced to do so kwaajili ya how things have set themselves ambapo he is in a terrible threat on both side kwa upande wa hao wenzake na upande ule wa nguvu ya umma so he is caught in between. Kwa uwezo alionao he sees its easy to handle the RACHEL side kwani the other is so visible for him to act against. Lakini niwaambie jamani bahari ya Sham si kikwazo kwa wateule ila kwa majeshi ya Pharaoh. Hakuna anayeweza kuchange hii destructive equation sana sana haya bado ni mapigo kati ya yale kumi na mwisho itakapokuja kuwa bahari imegawanyika na wao wakadhani watapita kama wana wa Israel hapo ndo watajua kuwa sometimes there are power and powers. I can bet with you people nobody who is Fisadi atavuka hii vita salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…