Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,598
- 5,188
Ndugu naombeni msaada ,mimi binafsi yangu nimekuwa nikitumia operamini kwa mda mrefu pasipo kujua kuwa kuna browerser zingne .hv leo ndo nimesikia sikia kuwa kuna nyngne pia .Je ni zipi hzo wakuu na ni kwavigezo gani naweza ziinstal kwa cmu yangu