Opera Mini vs UC Browser Chaguo lako ni lipi ?

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,523
Reaction score
2,165



My take ! UC Browser ! Naweza ku customize background colours as i want ! Na displayable gif images ! Stylish !

===>Chaguo ni lipi wewe !
 
Mi napenda UC browser,naona iko poa sna,tangu niijue opera nimekuwa siitumii sn
 
UC browser ni the best kwangu kwa matumizi ya simu, kwanza ipo faster mara mbili zaidi ya opera katika ku extract data online
 
UC browser ni the best kwangu kwa matumizi ya simu, kwanza ipo faster mara mbili zaidi ya opera katika ku extract data online


Afu wanao isifia sana UC browser nadhani ni Smartphone users !

Ila tukija kwenye simu za kawaida mfano zenye JAVA ! Operamini ni ze best !
Na UC browser ipo slow ! Na UI yake haikai poa sana !
 
hilo unalolisema linaweza kuwa lina ukweli ndani yake lkn mimi mwanzoni kabla cjazifaham simu za adroid nilikua natumia symbiani, nokia E71, lkn bado uc browser ilikua the best kwenye speed, ilikua inaenda mpaka 600kb/s speed ambayo ni nzuri kwa maeneo ya mikoani .ukirudi kwenye opera ilikua ipo slow ukilinganisha na ucbrowser
 
...sina uc blauza,nainstolije mkuu...
 
kwa kazi zilizotengenezewa opera ni best haina mpinzani
1. compression ya data ni kubwa hata network ikiwa ya edge utatumia vizuri.
2. uwezo wa kutumia bookmarklet na kuongeza function kama kutranslate page, kufungua mafile ya pdf nk.
3. yenyewe ipo fast interms ya ram, haili resource sana na file lake ni dogo compare na ucweb.

ucweb ni nzuri kwenye downloading tu.


kwa better comparison nafkiri ungeeeka opera next inayotumia webkit na ucweb. sababu ucweb ni full browser ya simu wakati opera mini inatumia compression kubwa.
 
asee UC BROWSER ndo babalao ndo naitumia hapa operamini nshaifuta kitaambo
 
Uc browser inakupa option ya ku view kama hutak kudownld so Uc browser ni
 


Yaa nis Sahihi mkuu kwa upande wa Web page compression operamini ni the best !

Pia nadhani operamini next wengi sana hawaijui ! Niliitumia sana kwenye C5 nikiwa symbian !

Ila kwa upande wangu mi ni adui mkubwa sana wa White colour ! Background Huwa inaumiza macho kitu ambacho kwenye operamini kilishindikana !

Nikawa nalazimika kutumia Blackle ! Kama search engine Blackle - Energy Saving Search

lakini background ya UC ni customizable !
 

opera next ya webkit haipo symbian ipo android na ios tu ni mpya.

ila opera mini 8 ina night mode hujatumia sku nyingi opera thats why.
 
uc ni bomba, kama hutaki mwanga mkali usiku unaswitch to night mode
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…